Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Wakuu salaam,
Kwa Ufupi naomba tutaje watu maarufu kama wachezaji wa zamani, wachezaji wa sasa, Watangazaji wa michezo, wanasiasa n.k. ambao ni washabiki wa Yanga au Simba.
Wengi (wahusika) wamekuwa wakificha, lakini kwa kuwa sisi tumekua nao, tumesoma nao, tunafanya nao kazi, tunaishi na ndugu zao, kwa namna moja au nyingine tutakuwa tunafahamu timu wanazoshabikia kati ya hizo mbili
Mimi naanza na Kitenge ni Yanga, Shafii Dauda ni Simba, Kikwete ni Yanga, Makonda ni Simba
Tuendelee