Yanga: Nape Mnauye, Lady Jaydee, Mwakyembe, Edo Kumwembe, Kiba, AY, Joketi, Irene Uwoya, Ray Kigosi, Anne Makinda, Mizengo Pinda, Kinana, Freeman Mbowe, Jenista Mhagama, Venace Mabeyo, Lipumba, Mheshimiwa Temba, Cheyo, Tundu Lisu, Boniface Wambura, Dkt Sheini, Lowasa, Mzee wa Upako
Simba: Sugu, Profesa Jay, JB, Mwana-FA, Tulia, Ali Choki, Kigwangala, Sofia Simba, Ramadhani Dau, Mondi, Gwajima...
Nimekua nae huyo namjua vizuri sana na pia mnazi mkubwa wa Arsenal. Kwa Yanga anajificha tu. Ila mwanajangwani kindakindaki huyoEdo simba mkuu, kwa wengine nakubaliana na wewe
Simba mwingine Zito Zuberi Kabwe
Basi atakuwa amejitahidi sana kujificha, maana wengi wanamchukulia Edo Kumwembe kuwa ni SimbaNimekua nae huyo namjua vizuri sana na pia mnazi mkubwa wa Arsenal. Kwa Yanga anajificha tu. Ila mwanajangwani kindakindaki huyo
Anajificha lakini anaumia sana Yanga ikifanya vibaya. Hata kwa Arsenal anajificha kwa LiverpoolBasi atakuwa amejitahidi sana kujificha, maana wengi wanamchukulia Edo Kumwembe kuwa ni Simba