Maana hata nikisikia simu za mashabiki wa Yanga katika kipindi cha Sports arena, huwa wanaonyesha kutopendezwa na comments za Edo kuhusu timu hizi mbiliAnajificha lakini anaumia sana Yanga ikifanya vibaya. Hata kwa Arsenal anajificha kwa Liverpool
Anafanya makusudi tuMaana hata nikisikia simu za mashabiki wa Yanga katika kipindi cha Sports arena, huwa wanaonyesha kutopendezwa na comments za Edo kuhusu timu hizi mbili
Duh...wewe ndiyo hujui kitu...kwa PM lakini siyo kwa hao wengineJPM Simba.
Samia Suluhu Simba.
Kassim Majaliwa Simba.
Kwa kifupi, serikali ni mwanachama halali wa Simba.
Mkuu shafii sio yanga kweli maana ..kwenye kipindi chao anawakandia sana simba..nilipata nafac ya kusikiliza redio kipindi mo dewji anatikisa kiberiti baada ya matokeo mabovu ya simba Kombe LA mapinduzi ...nilisikia akifurahia hilo jambo na ndo yy aliyetoa update....pia rejea kipindi kile simba makundi na kina al ahly aliwaita simba underdog na hakuwapa nafac ya kutoboa makundi licha ya simba kuwa na kikosi kizuri kipindi kile....mi nilijua n yanga lialiaWakuu salaam,
Kwa Ufupi naomba tutaje watu maarufu kama wachezaji wa zamani, wachezaji wa sasa, Watangazaji wa michezo, wanasiasa n.k. ambao ni washabiki wa Yanga au Simba.
Wengi (wahusika) wamekuwa wakificha, lakini kwa kuwa sisi tumekua nao, tumesoma nao, tunafanya nao kazi, tunaishi na ndugu zao, kwa namna moja au nyingine tutakuwa tunafahamu timu wanazoshabikia kati ya hizo mbili
Mimi naanza na Kitenge ni Yanga, Shafii Dauda ni Simba, Kikwete ni Yanga, Makonda ni Simba
Tuendelee
Mkuu shafii sio yanga kweli maana ..kwenye kipindi chao anawakandia sana simba..nilipata nafac ya kusikiliza redio kipindi mo dewji anatikisa kiberiti baada ya matokeo mabovu ya simba Kombe LA mapinduzi ...nilisikia akifurahia hilo jambo na ndo yy aliyetoa update....pia rejea kipindi kile simba makundi na kina al ahly aliwaita simba underdog na hakuwapa nafac ya kutoboa makundi licha ya simba kuwa na kikosi kizuri kipindi kile....mi nilijua n yanga lialia
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba alikuwa ana kikosi kizuri mbona mpk timu ilifika robo regardless ya vikosi vya kina al ahlyKwamba simba alikuwa ana kikosi kizuri kuliko A Ahal... Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli
Shafii simba damu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndugai tunamtoa kwa mkopo tafadhari.
Yanga: Nape Mnauye, Lady Jaydee, Mwakyembe, Edo Kumwembe, Kiba, AY, Joketi, Irene Uwoya, Ray Kigosi, Anne Makinda, Mizengo Pinda, Kinana, Freeman Mbowe, Jenista Mhagama, Venace Mabeyo, Lipumba, Mheshimiwa Temba, Cheyo, Tundu Lisu, Boniface Wambura, Dkt Sheini, Lowasa, Mzee wa Upako
Simba: Sugu, Profesa Jay, JB, Mwana-FA, Tulia, Ali Choki, Kigwangala, Sofia Simba, Ramadhani Dau, Mondi, Gwajima...
Hahahaha, kuna jambo moja sitakuambia... kibiashara watu alionao kimkataba binafsiMkuu kuhusu Edo nimeendelea kufuatilia naona huyu jamaa ni Simba kabisa
Kwanza jana ilikuwa ni kilele cha wiki ya Mwananchi, lakini akaenda Arusha kwenye game ya simba (okay tufanye ni majukumu yake ya kikazi)
Pili leo nimemsikiliza Sports Arena anasema ameona tu magoli ya Yanga lakini hajaangalia mechi ya Yanga. Haiingii akilini awe shabiki wa Yanga halafu ashindwe/aache kuangalia game ya timu yake (Yanga) kwenye TV.
Tatu kwa mtitiriko wa matukio na uchambuzi wake wa siku zote, utagundua kwamba he is leaning towards simba
Kama kweli umekua na Edo na alikuwa Yanga, basi alihama Yanga, akaenda Simba.
Au
Wewe ni Edo na unaendelea ku cover upenzi wako kwa hizi timu 2
Hitimisho: Edo Kumwembe ni Simba
Morisson aliiba gari South,Hanspope alitaka kumpindua Nyerere,Rage aliiba mipira ya FAT nknknk[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]