Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
ha ha ha komrade kuna watu wanajua kusoma between the lines na kuunganisha dot. we acha tu!! JF kiboko!Mmh! Kweli JF ni zaidi ya niijuavyo, kumejaa watu wa kila aina. Thanks to all, mawazo yenu ni mazuri pia.