Nani pisi kali kati ya Uwoya na Aggy baby?

Wote hawa maisha yao ni kizungumkuti wanaishi maisha ya starehe sana kulinganisha na kazi wanazofanya mpaka wambea wanajiuliza pesa wanapata wapi?

Lakini tuachane na hayo, leo tuangalie uzuri wao nani kati yao ni pisi kali kuliko mwingine?Irine au Aggy?
 
Sasa Uwoya si mzee mkuu?
Hebu muondoeni kwenye kundi la pisikali
 
Kuna watu watakuja kusema "hamna lolote wa kawaida tu hao"
Uzuri wako wee unakubali warembo walioumbika....kama nakkuona unavyotamani ungekuwa mwanaume upate kuwagegeda
 
Hata kutiwa nayo ni kazi japo sio halali.....
ndio kazi wafanyazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…