Nani Role model Wako?

My Father,he made me to fight in any way.He inspired me,
Alhamdulillah
 
Mkuu Ulivyo Mu-address Ni Kama
Hayupo Duniani.
Ila Kama Yupo Hai, I'm Sorry.
Hapana,alishafariki upo sahihi.
Namuombea sana mzee wangu,japo hajawah kuiona senti yangu,alifariki 30 days baada ya kumaliza mitihani yangu ya elimu ya juu.
Mungu anuondolee adhabu ya KABURI
 
Hapana,alishafariki upo sahihi.
Namuombea sana mzee wangu,japo hajawah kuiona senti yangu,alifariki 30 days baada ya kumaliza mitihani yangu ya elimu ya juu.
Mungu anuondolee adhabu ya KABURI
Daaah! Nimejikuta Machozi Yananitoka Mkuu! Inauma Sana
Kwa Kijana Kukaza Kielimu Ili
Wazazi Wale Matunda Then Katika
Hatua Za Mwisho Unampoteza Mtu Muhimu Duniani Kama Baba.
All In All Hatuwezi Kurudisha Uhai
Focus Mbele Pia Umuenzi Kwa
Mambo Mema Aliyoyafanya Akiwa
Duniani Atafurahi Huko Alipo.

Wote Tutaonja Mauti The Same Way Your Dad Did.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…