Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejitangaza kuwa ni mpumbavu ha ha ha haaHa ha ha ha ha ha!
Jamaa Ni Wa Ajabu Kweli.
Labda Anatokea Sayari Ya Aliens.
Hahahaaa kweli MkuuAna Vinasaba Vya Mapadlock.
Siku nilipogundua Idi Amini alikuwa mpishi jeshini nilimuheshimu sana......niligundua kufanikiwa sio kusoma nin, kutoka familia gani, n.k ila ni kuwa smart working not hard working..... working towards your vision yaani unataka nin kwenye haya maishaRole Models wangu ni kama wafuatao
- Idi Amin Dada
- Adolf Hitler
- Charles Taylor
- Joseph Kony
- Osama Bin Laden
- Saddam Hussein
- Muamar Ghaddafi
Nawasalimu wote!
Kuna msemo "we are what we are because of other people"
Ni ukweli kabisa kwenye hekaheka zetu za kila siku tunafanya mambo mengi makubwa kwa kuiga mfano toka kwa mtu au watu fulani.
Niwe muwazi kwa hapa bongo ninao watu wanaonifanya niwe mtu wa tofauti kwenye nyanja mbalimbali kwa mfano kwenye siasa namkubali sana Andrew Chenge, kwenye sheria Lissu, kwenye utajiri Nimrod Mkono.
1. Andrew Chenge
Amenifanya nidhamirie kuwa mwanasiasa wa aina yake. Sijui nitampataje nionane nae uso kwa uso.
2. Tundu Lissu
Amenifanya niipende taaluma ya sheria ukiachalia mbali nilikuwa mpenzi wa sayansi lakini huyu mtu amenifanya nigundue wito wangu ni kuwa lawyer.
3. Nimrod Mkono
Mbali na utajiri wake kutotangazwa hovyo naamini hakuna mtanzania anaye mvaa kifedha. Anyway, nimevutiwa na style ya utajiri wake.
Ningependa kujua kutoka kwenu watu walio saidia kukubadilisha kimtazamo, kifikra, kitabia, kimaendeleo nk....
Hahahahaha malaya mwenziye itakuwa labdanajua kuna mpumbavu atakuja kumtaja MANGE KIMAMBI huku
Acha kumhusisha sir God kwenye upuuz kama huuuuYesu Kristo,
Yale majibu yake na mifano dhahiri imenifanya ñitamani kuwa kama yeye
Sir God ndo nani?Acha kumhusisha sir God kwenye upuuz kama huuuu