Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

Jenerali ulimwengu pamoja na milllad ayo, na Kennedy the lemedy kwa sababu tu napenda uandishi wa habari na utangazaji Kama radio na TV personality
 
Role Models wangu ni kama wafuatao
  1. Idi Amin Dada
  2. Adolf Hitler
  3. Charles Taylor
  4. Joseph Kony
  5. Osama Bin Laden
  6. Saddam Hussein
  7. Muamar Ghaddafi
Siku nilipogundua Idi Amini alikuwa mpishi jeshini nilimuheshimu sana......niligundua kufanikiwa sio kusoma nin, kutoka familia gani, n.k ila ni kuwa smart working not hard working..... working towards your vision yaani unataka nin kwenye haya maisha
 
Nawasalimu wote!

Kuna msemo "we are what we are because of other people"

Ni ukweli kabisa kwenye hekaheka zetu za kila siku tunafanya mambo mengi makubwa kwa kuiga mfano toka kwa mtu au watu fulani.

Niwe muwazi kwa hapa bongo ninao watu wanaonifanya niwe mtu wa tofauti kwenye nyanja mbalimbali kwa mfano kwenye siasa namkubali sana Andrew Chenge, kwenye sheria Lissu, kwenye utajiri Nimrod Mkono.

1. Andrew Chenge
Amenifanya nidhamirie kuwa mwanasiasa wa aina yake. Sijui nitampataje nionane nae uso kwa uso.

2. Tundu Lissu
Amenifanya niipende taaluma ya sheria ukiachalia mbali nilikuwa mpenzi wa sayansi lakini huyu mtu amenifanya nigundue wito wangu ni kuwa lawyer.

3. Nimrod Mkono
Mbali na utajiri wake kutotangazwa hovyo naamini hakuna mtanzania anaye mvaa kifedha. Anyway, nimevutiwa na style ya utajiri wake.

Ningependa kujua kutoka kwenu watu walio saidia kukubadilisha kimtazamo, kifikra, kitabia, kimaendeleo nk....

Role Model wangu ni Mrs. Funke Felix Adejumo.

FFA - Funke Felix Adejumo Foundation
 
Balack Obama, Mack Zuckerbergy, Ontario (sirjeff Denis), Ruge Mutahaba, A.Y, Jack Ma Founder of Ali Baba, Juma Rajab of Maxcom
 
Back
Top Bottom