Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

af22b3e2f6bd8a009434ed6405d7bcb9.jpg


Pokea Wanakupigia Muonane.
Hahahaha dah.... wako kwenye Nissan nyeupe?
 
1. My mom - Malezi aliyonipatia kwa ujumla...najitahidi na mimi niwapatie watoto wangu


2. Jennifer ( Alaska Tanzania ) kanifundisha kutokata tamaa pale unapohitaji kufanya kitu....kikubwa ni nia na uthubutu...alianza na mayai ila mpaka sasa ana bidhaa nyingi..mafuta, mchele n.k


3. Ruge -ni mtu ambae ukimfuatilia hukosi cha kujifunza kupitia yeye... kwenye fursa msimu wa kwanza nilipata idea ambayo ilinisaidia sana ....
Nimependa Ulivyo Jipambanua .
Una-deserve Kuwa Great Thinker.
 
Hata nishambuliwe kwa risasi na wanaojiita "watu wasojulikana" damu yangu ni mwanaharakat mtupuu
Kama Unayoyaongea Ni Ukweli
Basi Wewe Ni Almasi Ya Taifa.
 
Back
Top Bottom