Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

I.Cristiano Ronaldodos Santos Aveiro[emoji4]

1.Anajituma,anapenda mafanikio na anayatafuta.
Napenda passion na focus yake kwenye kazi.

2.Anajali muonekano wake na Hana tattoos.

3.Anajali familia yake na anajitoa kusaidia jamii.

II.Nikola Tesla

1.This guy alijituma Sana wakati yuko hai, lakini
Watu hawakumu acknowledge.Wengine walimtumia tu.
Aligundua vitu vingi Sana..alitabiri hadi internet.
Yeye ndo alikuwa mastermind nyuma ya Thomas Edison.
Ni mtu ambaye alikuwa Ana akili na alizitumia.

2.Nachojifunza kutoka kwake Ni kuweka juhudi kwa kila ninachofanya,na
Kutokukata tamaa.
Hata kama wanadamu wanakuona kichaa au kukudharau ipo siku watakuelewa.
Tesla amekuwa my motivation katika safari yangu ya masomo since standard five mpaka saivi.

III.Beyoncé Knowles

Huyu mwanamke anani inspire kujitegemea every single day.
Alijituma kutafuta mafanikio yake ndio Maana hana ushosti na Kim Kardashian ambaye kilochomfanya ajulikane ni video ya porn.

Bey anajituma sana na anainvest juhudi zake na muda kuhakikisha anaburudisha watu,and now one of the great entertainer in the world.
Bey mfano mzuri wa wanawake wanaovumilia maisha ya ndoa,japokuwa ni feminist,she is reasonable and forgiving.Sio kama celebs wengine wasio settle.So ni inspiration kwa vijana wakike.

Ni Mara nyingi Sana watu tunapokuwa overwhelmed na maisha tunatafuta solutions kupitia njia mbalimbali
Kwa mfano,kujiuza,ushirikina,wizi,uwongo,dhuluma,kukata tamaa,kujiua,kulaumu wengine n.k

So nivizuri kuwa na role model katika maisha kwani itafika kipindi hutoweza kujiamini na itabidi uamini kuwa wengine waliweza.

Pablo Escobar,ElChapo walikuwa na mafanikio.
Adolf Hitler na kina Joseph Stalin walikuwa wanamafanikio.
Kikwete na Magu wote wana mafanikio.

Hata kama kuna mabaya ambayo mtu kafanya kuna mambo ambayo tunaweza kujifunza kutoka kwao.
Kwa hiyo mtu yeyote anaweza kuwa role model as long as hujifunzi mabaya kutoka kwake.

Other role models;
Paul the apostle
Babu yangu
 
Mimi sina role model ila nina mentor nae ni shigongo kwenye autobiography yake ya mhitim wa la saba

Yule nae haelewekag kesho yake anakwambia mara alisomaga chuo cha uuguzi
 
Unafaa Kuwa Mwanazuoni!
Umejipambanua Vilivyo. [emoji122] [emoji122]
 
Mimi sina role model ila nina mentor nae ni shigongo kwenye autobiography yake ya mhitim wa la saba

Yule nae haelewekag kesho yake anakwambia mara alisomaga chuo cha uuguzi
Ila Umedanganya Umma
Muombe Radhi Alisoma
Mpaka Chuo Na A-level
Alimaliza Mzumbe Sec.
 
Prophet Mohammad SAW, bingwa aliyempwekesha Mungu kwa kwa mafunzo yake yote, maskini aliye tawala dunia na mwenye kuikinai, komando wa vita kavukavu hakutuma watu isipokua aliingia vitani naye pia, bingwa wa kuswali na hakuna aliyemfikia kwa hilo kwa viumbe wote ardhini na hata kuwepo daima, hakuwahi kuwa dhaifu kwa binadamu ila kwa Mungu tu, Zaidi ya yote halitajwi Nina lake isipokua linalotangulia ni LA Mungu. Kiukweli siwezi fikia sifa zake ama kuzimaliza kuziorodhesha lakini huyu ndo model wangu.
[emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom