Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi unaonekana we mhenga kama sio ni mbukuzi wa HistoriaDr.Martin Luther King Jr.
Chief Albert Luthuli
Dr. James Aggrey Kwegyir.
Wewe ndo umemtaja sasa....sio mbaya.najua kuna mpumbavu atakuja kumtaja MANGE KIMAMBI huku
Kuna mtoto mmoja alikuwa hajasafiri toka azaliwe nje ya kijiji Chao siku moja akaona kichuguu akajua ndio mlima Kilimanjaro unaohadithiwa.Kutembea,kuona,na umri wa mtu kuna nafasi kubwa sana kwenye kujua mambo Tanzania kuna matajiri wakutisha huwezi sikia habari zao na hujawahi wasikia.Mzee Nimrod Mkono lazima umuone tajiri sana maana anasikika vile utajiri wake sio mchoyo anaweza jenga shule jimboni kwake na computer kisha anaipa serikaliHakuna mtanzania anaemuweza Nimrod Mkono kwa utajiri?
Hizi habari umezipata wapi?
Una umri gani asee?
That's The Opinion Not A Fact.Kuna mtoto mmoja alikuwa hajasafiri toka azaliwe nje ya kijiji Chao siku moja akaona kichuguu akajua ndio mlima Kilimanjaro unaohadithiwa.Kutembea,kuona,na umri wa mtu kuna nafasi kubwa sana kwenye kujua mambo Tanzania kuna matajiri wakutisha huwezi sikia habari zao na hujawahi wasikia.Mzee Nimrod Mkono lazima umuone tajiri sana maana anasikika vile utajiri wake sio mchoyo anaweza jenga shule jimboni kwake na computer kisha anaipa serikali
Toa Boriti Kwako Ndo Uone Kibanza Kwa WenzioUnahitilafu Kwenye Kiungo
Chako Mmojawapo Mwilini.
Jakaya Kikwete:Kwangu mimi ni kiongozi mwenye uwezo wa hali ya juu kabisa ktk kutengeneza na kutekeleza mikakati.Case in point;uchaguzi wa 2005 na uongozi wake miaka 10.SIASA:Jakaya Kikwete
BIASHARA:Rostam Aziz
UBUNIFU:Ruge Mutahaba
[emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122]Jakaya Kikwete:Kwangu mimi ni kiongozi mwenye uwezo wa hali ya juu kabisa ktk kutengeneza na kutekeleza mikakati.Case in point;uchaguzi wa 2005 na uongozi wake miaka 10.
Rostam Aziz:Huyu kwangu ni true definition ya Capitalist.Capitalists make and runs governments.
Ruge Mutahaba:Jamaa alirudi nyumbani kutoka U.S.na degree ya Market and Finance.Angeweza kupata kazi ktk kampuni kubwa tu na kupata mishahara mnono.Lakini kwasababu ya spirit ya kijasiliamali na mapenzi ya muziki,alirudi kutoka marekani na kuungana na rafiki yake Kusaga na kuanza kazi ya kupiga muziki "disco".Leo hii unazungumzia Clouds Media Group.