Nani shetani ? wa JF

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Shetani ni majini na watu.

Uzuri wa ushetani anabeba dhambi zake na kukuachia jukumu kwako ,kwa maana hakulazimishi,hakuvuti wala hakujui ,lengo lake ni kupata wenzake.

Ila siku ya siku atakapowekwa mbele ya hukumu atawauliza wafuasi wa jamii forums .Je niliwashika mkono na kukuvuteni ?
Apo chacha ,hivi utatoa jawabu gani ???
 
Satan is locked in hell, waiting for his judgement.

Tuje kwenye uhalisia..
Shetani amewahi kuja kwako akakwambia ukahonge? Au ukabake? Au ukaibe?

"Nilikushawishi wala sikukulazimisha. Dhambi umetenda mwenyewe, jibu mashtaka mwenyewe"Satan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…