Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

kuna kampuni ya kuzalisha mayai iko mkuranga, mwenye info zake tafdhali
 
Mtu Hadi anaitwa Bon Yai wewe hata hushtuki hapo,Ex Mayor wa Ubungo ndo mpango mzima
Mayai fake ya kichina hayo made in laboratory
Kuku wanaotaga hayo mayai umewaona?

Unaonyeshwa tu mayai kaa chonjo
 
Niliwahi kufika kwenye mabanda yao mitaa ya Kerege, Kule Mapinga.
Wana Kuku wengi sana
 
Mayai fake ya kichina hayo made in laboratory
Kuku wanaotaga hayo mayai umewaona?

Unaonyeshwa tu mayai kaa chonjo
Mkuu hii chuki ni level ya juu sana, ficha ujinga wako. Umewahi kuhitaji kuona kuku ukakataliwa? Acheni kuharibu biashara za watu pasipo uhakika wa tuhuma zenu. Mashamba yao ya ufugaji yapo hapo Bagamoyo
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana Wana roho mbaya , chuki , husda na awapendi kuona watu wanapiga hatua .
Mfano wachina hao wanaozalisha mayai wametoka kwao na zaidi unakuta walioko hapo ni wafanyakazi mabosi wako mbali kabisa wamewekeza pesa nyingi sana images kuku 100 mtaji si chini ya 2ml ad kuanza kutaga jiulize hapo .

Mtu anasema mayai ni feki alafu ana ushaidi unaona kabisa huyu mtu kichwani yamejaa maji badala mtu ajikite kwenye kazi yeye ni majungu . Ni hivi ukiwa na hizo pesa ukawekeza bado una kazi nzito ya management Ili kufikia lengo , tena bado una kazi ya kulikamata soko bado una kazi ya usambazaji hivyo tuache mchezo ndugu wa tz .
Miaka flani nyuma tulikuwa tunasafilisha mayai zaidi ya trey elfu 30 dereva mzuri na gari Ina Busta ya kutosha unafika trey zaidi ya 50 had 100 zimevunjika ila bado faida inapatikana na dereva anapata commission nzuri.

Biashara ya uzalishaji inaitaji mtaji, management, promotion advertisement, distribution na capture market share .
Tupunguze makasiliko ya umaskini kwetu Kuna msemo unasema na atainakyo agaya
 
Hyo ndio mtanzania wewe umetumia fedha na rasirimali watu kujipata ,yy anakuja kukuharibia pasipo sababu.
 
Back
Top Bottom