Nani unamkubali humu JF akikupa ushauri?

Nani unamkubali humu JF akikupa ushauri?

Mi napendaga sana naushauri mazito sana toka kwa wafuatao:
1.Le Mutuz
2. Ze King of Bongo Social Media
3. Le baharia lenye madigirii matatu
4. Le UVCCM lenye miaka 67 na nusu.
 
Mi napendaga sana naushauri mazito sana toka kwa wafuatao:
1.Le Mutuz
2. Ze King of Bongo Social Media
3. Le baharia lenye madigirii matatu
4. Le UVCCM lenye miaka 67 na nusu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Kila mmoja anatoa ushauri kulingana na upeo wake,hivyo membee wote wanatoa ushauri na ni jukumu la mwenye hitaji kuchekecha kwani yeye ndiye muamuzi wa mwisho
 
Back
Top Bottom