Kila Baba ana Baba yake,,Habari wakuu,
Nauliza humu jukwaani kuna watu wanaomba ushauri kwa mambo yao au mambo ya mtu mwingine. Sasa ni nani ambaye akikupa ushauri unaridhika au akitoa ushauri kwa mtu mwingine ushauri huwa na mashiko?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mi napendaga sana naushauri mazito sana toka kwa wafuatao:
1.Le Mutuz
2. Ze King of Bongo Social Media
3. Le baharia lenye madigirii matatu
4. Le UVCCM lenye miaka 67 na nusu.
Hata kifimboplayer ni Kwenye majina yanayoanzia K nawakubali sana
Naomba moja hadi tatu kiongozi.1.mshana jnr
2.faiza fox
3.mzizi mkavu
4.miss natafuta
Namba moja hadi tatu kiongozi.