nani unamkubali/unamgwaya jf?

Hakuna ambaye ncyempenda humu Chitchat. Wengne nkikutana nao katika lile jukwaa lnaloongoza kwa kugawa ban(Siasa) huwa wananiboa na kunichefua na huwa cwapend tukiwa kule ila nkiwa nao humu huwa nawapenda sana. Humu 2po kirafiki zaidi, hakuna ubshan wa itikadi za kisiasa au kidini.
1 love to u all..
 
naenda kutafuta kishushio cha koni.

shem tangu nikusifie kwenye ule uzi wangu wa CONE...umetokea kuzipenda...habari yako lakini!mbona hujanitaja kama unanigwaya?
 
shem tangu nikusifie kwenye ule uzi wangu wa CONE...umetokea kuzipenda...habari yako lakini!mbona hujanitaja kama unanigwaya?

vp pacha? U hali gani? Napga cmu yako haipatikani. Nini tatizo? Au ndo Ashura wa Makumbusho keshaiteka?
 
nakukubali pia mtei wangu ingawa ulipiga majungu kwenye harusi yangu.

Ahsante kwa kunikubali. Pale nilikuwa nataka kuhakikisha uhamisho uko salama. At last nilikuunga mkono Husny
 
shem tangu nikusifie kwenye ule uzi wangu wa CONE...umetokea kuzipenda...habari yako lakini!mbona hujanitaja kama unanigwaya?

shem mi mzima, mi kiukweli koni nazipenda sana na huwa natenga budget yake kila wiki. Lol.
Shem ninavyokupenda nikugwaye!! Si bora nijiuzulu jf.
 
Ndo nimemshusha mda huu hapo karibu na nyumbani. Anafka mda c mrefu
Asante sana..napenda madereva tax waaminifu kama wewe. Kesho uje mapema kumpeleka house girl wangu sokoni.
 
Kaaaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…