nani unamkubali/unamgwaya jf?

Natangaza rasmi kufunga uzi huu,ole wake atakayechangia baada ya mimi baba ku log off.

hata tukiongea vingine ambavyo sio vya kufagiliana?
Kama mimi nina ujumbe wa kumpa Kongosho.
Nimeona mtu wake somewhere, nisimwambie?
 
Yatakushinda!!!

Wee Lizzy wewe?
Ngoja kwanza nimeze vidonge vyangu vya presha ntarudi,maana ku deal na wewe yataka moyo stable.
Ps: Wambie kina mtei,mwali,konnie et al kuwa as of now hii thread ni persona non grata kwao,anabakia Lizzy na Bishanga kwenye uzi huu,wengine (hata akiwemo PAW OUT!!!!!!).
 
ndo maana una ndevu za kuingia kwenye maziwa.

 
ngoja nimsake
hiyo glas lazima niitie kokein leyo.
Leta nikuwekee. He trusts me so much.
but toka tumekaa hapa anakusema wewe tu.
Na hivi umebaki peke yako ndio kabisaaaaaa. lol
 
Sasa tutokw twende wapi na wewe umeshaenda kuvaa gloves?
mi nitakua hapa hapa tu, naongea na Kongosho kidogo.:nod:
 
he he he, ngoja nikupe
mwekee haraka
mjanja sana yule.

Ananisema nini?

Leta nikuwekee. He trusts me so much.
but toka tumekaa hapa anakusema wewe tu.
Na hivi umebaki peke yako ndio kabisaaaaaa. lol
 
sijui tumwite hapa.
Kule kwingine kumejaa watu.

Sasa tutokw twende wapi na wewe umeshaenda kuvaa gloves?
mi nitakua hapa hapa tu, naongea na Kongosho kidogo.:nod:
 
he he he, ngoja nikupe
mwekee haraka
mjanja sana yule.

Ananisema nini?
Alikua ananihadithia ile first date yako. nimecheka sana.
Umemuona amesha ingia kule? Ile dawa nimesha weka.
 
Bishanga, mie mbona bado sijachangia na sredi imefungwa? Nitaripoti abyuzi, naomba nimtaje ninayemgwaya plz
 
Enheee. . .
Nakusoma. . . . .!
 
Kudagadadadadadeki!

Yaani mimi, mimi huyu, yaani mimi mwenyewe ODM mimi. Mimi orijinale mpenda masifa. Kudagagadadadeki!

Nikipataga maujiko kama hayo afu bibi yenu aninyime haki yangu ya ndoa..... Sabuni zinanikomaje? Ole wako sabuni bibi akinikomalia. OLE WAKO!!

Badili Tabia, Come this way darling.
 
Bishanga, mie mbona bado sijachangia na sredi imefungwa? Nitaripoti abyuzi, naomba nimtaje ninayemgwaya plz
Rusha posti yako fasta kisha usepe,nakupa dakika tano tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…