nani unamkubali/unamgwaya jf?

Pasaka hii..nimeshawaambia waandae beberu na mbege ya kutosha. Lazima tukuweke kitimoto. Mambo ya kupingana na kaka yako publicly hatutayavumilia kabisa.
Hehehe!

Tutakutana kijijini na mie ntasema yangu ya moyoni...nikisema hapa utasema napingana na kaka lol..
 
@ Badili Tabia, sante sana kwa kunikubali, nakukubali pia mpendwa.

Nakuahidi kuwa nitahamia kwenye siasa moja kwa moja lol.


Ubarikiwe sana.
 
Badili ahsante kwa kuni maind.
Kumbe na wewe Lizzy unamjua eh?
 
@ Badili Tabia, sante sana kwa kunikubali, nakukubali pia mpendwa.

Nakuahidi kuwa nitahamia kwenye siasa moja kwa moja lol.


Ubarikiwe sana.
Una ubavu weye wa kuhama mmu/chichat? Kwanza mmeo nitts atakuruhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…