Hivi akija mtu akisema "Mimi Gaijin nna miliki helikopta" au "Mimi Gaijin, helikopta ile ni yangu mimi," maana yake ndio ninamiliki kweli?
Hakuna kitu kama hicho. Mwanamme yoyote iwe humu JF au huko mtaani, hawezi kumilikiwa na asijue. Na akisema hajui maana yake anataka kukudanganya tu.
Mtu anapokuja hapa na kusema repeatedly "Fulani ni wangu," kisha huyo Fulani asimkane, ni dhahiri kuwa yeye anamilikiwa.
Sasa anapojifanya hajui kuwa anamilikiwa ni kujitoa fahamu tu.....anajua vizuri sana
unachezea hela wewe?
Mtu atakupinga kwa vigezo vipi sasa? Kua huna uwezo wa kumiliki helikopta?Kua huonekani/fananii na mmiliki wa helikopta?
Hehehehe. . . hiyo ya kusema huyu wangu sijaona ila hua wanaact. . .mpaka wahusika wanabaki kujiuliza "kulikoniiiiiiiii?!"
Huo "ukweli" si mpaka mtu awe na uhakika nao? Maana mtu aloanza kukujua mwaka juzi hawezi kukupinga/katalia kwa uhakika hata kama unaishi kwenye mbavu za mbwa.Hawezi kunipinga kuwa similiki helikopta lakini haifuti ukweli kuwa sina helikopta. Hoja ya msingi ni kuwa mtu anaweza kusema chochote, lakini haimaanishi kuwa ndio ukweli
Sasa hao wahusika ndo wanakutafuta na kukwambia kuwa wanajiuliza "kulikoniiiiiii?!" au wewe huwa unajuaje?
Na utathibitisha vipi kuwa hajamilikiwa?
Hayo mengine yapo. . . Ngoja ntamwomba mhusika mmoja afunguke.
Lizzy,kwa nini unafurahia mateso yangu?siku moja moja nibembeleze bana.
ndi omulwehya ninyenja,akondakwasamu niko ndachumita waitu.
ndi omulwehya ninyenja,akondakwasamu niko ndachumita waitu.
kama ni bishanga nitaje niko tayari kufunguka.Huo "ukweli" si mpaka mtu awe na uhakika nao? Maana mtu aloanza kukujua mwaka juzi hawezi kukupinga/katalia kwa uhakika hata kama unaishi kwenye mbavu za mbwa.
Hayo mengine yapo. . . Ngoja ntamwomba mhusika mmoja afunguke.
kama ni bishanga nitaje niko tayari kufunguka.
hakuna binadamu hana soft side bana............nikune plizzzzz nawashwa mgongo chini ya bega siwezi kupafikia.
mmmmhhh ndo nani huyo?