bishanga apigwe na nani?kkaribu masaki kwenye dojo langu linaitwa fangshuhgwei,ukifika sema unataka kumwona sensei bishanga.(ukitaka njoo na mmeo nimpe demo).Wewe unataka kupigwa ehhhh?Sitaki kuanza kukanda watu vidonda mie saa hizi.
muulize gambachovu,ndo kavianza.
bishanga apigwe na nani?kkaribu masaki kwenye dojo langu linaitwa fangshuhgwei,ukifika sema unataka kumwona sensei bishanga.(ukitaka njoo na mmeo nimpe demo).
bishanga apigwe na nani?kkaribu masaki kwenye dojo langu linaitwa fangshuhgwei,ukifika sema unataka kumwona sensei bishanga.(ukitaka njoo na mmeo nimpe demo).
nifunguke nisifunguke?
we na mmeo wote mnanigwaya kudadadeki!
omuhaya ati omushaija lubingo otigala nilumela,bona ndabaa enshanduke.
hapo sssa ndo unaharibu,nibembeleze nifunguke.
kisa? Unauliza kisa?
Aliyo akaisiki ako baikweta Amyner.. Is'ako.. Toikukabona okwo mulwehya..?
kumbe ulikuwa unalamba koni??naenda kutafuta kishushio cha koni.
hivi shoga yako AD hajakwambia baba chanja wako ana nyumba ndogo? Hivi muda huu anabembelezwa huko,kalaghabao.