nani unamkubali/unamgwaya jf?

Hehehehe. . .
Nadhani nimemloga kwa kumtaja taja mume wangu. . .nae anatamani apate mtu wakumtaja taja hata asipokuwepo.

@Byshanga. . .
Hata ukiwa na red haibadilishi the fact kua yeye ndie "gentleman" wangu.
we Lizzy wewe, subiri,one day yes.
 
We Byshanga one day kuna nini? Ntakushtakia!!!


Hahahaha mi sijasema ni poa bana. . . ila nimesema hilo ndo baya.
Unishtaki kwa nani? Kwa Musimo jr?
 
Yaani nimesisimka mpaka kimwaga mkojo changu kimegoma kufuata sheria bila shuruti.

Hebu Come this way Yum... Yum...Yummy.
Nakukaribisha kwenye familia yangu.
Ukaguzi kwanza kama kawaida.
 
Yaani nimesisimka mpaka kimwaga mkojo changu kimegoma kufuata sheria bila shuruti.

Hebu Come this way Yum... Yum...Yummy.
Nakukaribisha kwenye familia yangu.
Ukaguzi kwanza kama kawaida.

Lol......angalia tu usije ukazimika ghafla wakasema nimekuua!sitaki murder case mie.
 
marafiki wa jf ninaowahusudu au kuwaignore hawakosekani. ni kutokana na category za majukwaa na pia kutokana na comments zao hasa wanapojadili mada husika
Kuna mtu akizungumzia jambo fulani kwa ufahamu mpana ama akili ndefu ndefu hata kama ulikuwa gizani ama japo kulijua jidogo ila huwezi kudescribe kama yeye lazima umfeel
Mtu anayecomment panapohitajika acomment
Mtu anayekujibu accordingly either kusapoti au kukosoa kulingana na comment au thread yako.yaani usitegemee kuanzisha uzi wa buibui halafu ukibanwa umchukie mtu..NO!
Vinginevyo i hate those who are nuisance commenters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…