Ngoja nikafute, ila ufutio ukisababisha brain konkasheni
You will be answerable.
hata ukimjua, kwanini umchukie? imeandikwa, wapendeni adui zenu.utamchukia je mtu ambaye haumjui mkuu.
Salam zimefika.
za siku Asha? hata salam za Pasaka?lol!
ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.Malalamiko yako alishayaleta kwangu siku nyingi,
unachelewa kurudi home na ukirudi unalala mzungu wa nne.
nilikaa kimya nikifanya uchunguzi wa kimya kimya lakini kwa kuwa umesema
tutaanza kukufuatilia mimi mama mzaa chema.
ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
karibu arusha,mwenzio nimeamia rasmi jana baada ya kukaribishwa rasmi na mwenyeji wangu.Wamjua weye?
usiguze kabisa sehemu za kichwani,
ngoja tumlilie kwanza kaka yako Kanumba (R.I.P) umesikia eeh.
Mimi napenda wote wenue mawazo ya kujenga, wachekeshaji, waropokaji, wakaidi. Hapa ni jukwaa ambalo watu wanathubutu kusema kwa uwazi na ukweli. Nisipokuabaliana nao haina maana kuwa siheshimu mawzo yao.
Lakini watu ambao siwavumilii ni watwanga matusi na wadini. Hawa wa mwanzo huwapuuza, nikiona wamezidi huwashitua na kuwaonya bila ya kuwaripoti. Wadini....mmmh...hawa hatupikwi chungu kimoja.
Hahaha, nilisahau kunukuu. Ninaheshimu hakimiliki.Lipia haya maneno.... Yoote ni yangu! lol. Mzima kaka?
Hahaha, nilisahau kunukuu. Ninaheshimu hakimiliki.
Mzima mara Mdogo wangu! Mara nyengine huona umeadimika, lakini ninapokumbuka majukumu houna ndio sababu.
Kuhusu hili la matusi dada, msimamo wangu ni huu, "anayetumia uhuru wake wa kusema kwa kuktukana, ni bora zaidi kwako kutumia wajibu wako wa kujiheshimu kwa kunyamaza kuliko kutukukanana naye". Usimfukuze kichaa aliyekuibia nguo mtoni.
Mahatma Gandhi aliongea na I quote "If faced by an opponent conquer them with Love" Hivo mimi naamini saana; Unapo tukanwa na mtu, then yule mtu wamjibu kwa tusi ina maana unakua ushakubali tusi ulopewa kua lipo sawa. But ukijibu otherwise na kujaribu muelewesha, then unakua umembakishia na kumrudishia tusi lake mwenyewe.....
Hii ni falsafa nzuri ya maisha. Laiti tungekuwa tuna busara na subira kama ya Mahatma!
Hahaha! Hii imo, ikiwa Bishanga hatotushutumu kwa kuchakachua thread yake.