nani unamkubali/unamgwaya jf?

achana na vitoto hivyo,
hawakawii kubonda na mtwangio kwenye
mwelekeo wa ubongo.

rudi kwa mamaa mbona bado mdogo tu.
Wa unga wa ltd mdogo? Watu pipoooooooooooo,usidanganywe na kamkono kwenye shavu........wembamba wa reli.........
 
Naomba intoro baas! lol Simjui....

Sikwambii,nakujua wewe ukimjua utamintrodyusi kwa mmeo aspirin. Mtu mwenyewe Aspirin last week nasikia shimo lake mererani limetema,aniibie?
 
Kama konnie humvumilii eti eh?
 
Sikwambii,nakujua wewe ukimjua utamintrodyusi kwa mmeo aspirin. Mtu mwenyewe Aspirin last week nasikia shimo lake mererani limetema,aniibie?

Kabla ya kukubembeleza uniambie naomba tafadhali nijulishe toka lini ODM alikua mume wangu? Khaaa! B' una hila wewe! lol
 
Jamani aliemuona Nyani Ngabu popote pale alipo anatafutwa!

We nae,najua unachokitaka,ujue uchonganishi zambi? Na yeye akafungue uzi wake,kwenye uzi wangu djuu ya nini cherie unamkaribisha NN?
 
Jamani natoa wito tena,mhusika mkuu wa uzi huu uko wapiiiiiiiiiiiiiiiiii????????????????
 
Hii ni falsafa nzuri ya maisha. Laiti tungekuwa tuna busara na subira kama ya Mahatma!

Haswaa! Majukumu hubana sana sometimes.... na nikipata mda ndio hivi twajuliana hali kwenye thread ya Bishanga...lol
Hahaha! Hii imo, ikiwa Bishanga hatotushutumu kwa kuchakachua thread yake.[/QUOTE]
Hivi natafuta namba ya simu ya invisibo.
 
Kabla ya kukubembeleza uniambie naomba tafadhali nijulishe toka lini ODM alikua mume wangu? Khaaa! B' una hila wewe! lol

Wamkana hazalani? Kuna thread moja juzi title siikumbuki aspirin aliorodhesha wanawake zake wote,umeisahau?
 
Wamkana hazalani? Kuna thread moja juzi title siikumbuki aspirin aliorodhesha wanawake zake wote,umeisahau?

ODM is my Darling shem.... Sijaona huo uzi, labda sababu mila zasema kua waweza rithi mke wa binamu...lol
 
ODM is my Darling shem.... Sijaona huo uzi, labda sababu mila zasema kua waweza rithi mke wa binamu...lol

We nae....shemeji shemeji mbona wazima taa........
 
Kipipi(naomba niwe nakuita Kipipi wangu,haijalishi jinsia yako....aiiii wewe kubaliii basi

Yummy Yummy sweetie......you are warmly welcome! Kipipi is so lovable, no need to worry! BTW; me penda wewe.......with the hand of thanks!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…