nani unamkubali/unamgwaya jf?

Simkubali wala simkatai yeyote.
kwenye red hapo Lizzy,bishanga hadanganyiki,ni muda sasa nimekuwa memba humu jf,i know something about Lizzy.
 
mimi naangalia kilicho andikwa siangalii id za watu sema kuna binti natamani nimfahamu ikiwezekana tuoane kama atakua bado hajawahiwa. anajijua coz pm kwake sichoki kumtumia. kwakua nipo serious naye siwezi mtaja coz hatajiskia vizuri.
mtaka cha uvunguni haachi kuinama na atafutaye hachoki akichoka jua mambo yameitika,all the best mkuu.
 
hahahahaaaaaa Canta binti Mtambuzi,mzee anaumia yeye ndo alikuwa wa kwanza kumjulia hali hindu mandal....naelewa mkuu....
 
utamchukia je mtu ambaye haumjui mkuu.
Mamndenyi huwezi amini,humu jf kama vile watu wanavyoweza kujenga upendo through key board hadi wakaoana na vice versa ipo (tena sana tu) watu wanaweza kuchukiana ni hatari,hujui humu jf kuna watu ni paka na panya na wanatamani wakutane wazikunje?
 
unaona sasa? hayo ndo maneno mtoto wa kiume!
 
Unamfikisha mawenzi mke wa Rejao????
Kweli wewe Shirika la Uma



Yaani na wewe ukitajwa tu unafika?
Hivi ODM kawaloga?
hivi hujui aspirin kwao masanza wani,kuna wanga ka nini huko.
 
hahahahaaaaaa Canta binti Mtambuzi,mzee anaumia yeye ndo alikuwa wa kwanza kumjulia hali hindu mandal....naelewa mkuu....
Alikuwa kila akija kuniona anadai SALIO..............................LOL
 
kwa kifupi najifeel conftable kwa wana chit chat wote ila mtu ambaye ni special kwangu mimi ni Sweetylady
kwani siri? kwa hiyo wote wanaomsegelea SL una feel uncomfortable kwao?
 
Sina nnae mgwaya, nawapenda karibu wote ila kuna mdada humu simjui, hanijui bt namchukia mpaka nikiona post zake natamani kuzifuta!
thanks for your honesty SL,msalimie nitts,mwambie Easter njema.
 
Sina nnae mgwaya, nawapenda karibu wote ila kuna mdada humu simjui, hanijui bt namchukia mpaka nikiona post zake natamani kuzifuta!

Ni nani anayekuboa mpenzi wangu nipo kwa ajili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…