halafu wewe...............si una kesi wewe!
Kuna mahali nimeona unatuhumiwa humu humu JF..............LOL
Teh utajiju
Asikutishie mtu maisha hapa, nani huyo nimmwagie tindikali? Erick au Bagah? Sema.Kuna raia naona anataka kunitishia maisha
Ilitakiwa uiweke hivyo ili kila mtu aone...........................LOL
Mmmmhh!Asikutishie mtu maisha hapa, nani huyo nimmwagie tindikali? Erick au Bagah? Sema.
Unamfikisha mawenzi mke wa Rejao????
Kweli wewe Shirika la Uma
Yaani na wewe ukitajwa tu unafika?
Hivi ODM kawaloga?
wenzio tumeshakupa 'like 250... wewe umetoa 77 tu
ina maana wewe unapenda kupokea tu siyo.
bado nakusubiria,uje kazi hakuna kazi hata nikeshe hapa poa tu.
Ahadi ni deni....nimerudi na majibu yangu Bishangasijakupotezea.
Nitawataja wachache tuuu ambao kwakweli nikifunguathread yoyote bila kuona michango yao roho huwa inasononeka sanaaaaa na kukosausingizi kabisaaa. Wa kwanza kabisaaaa KONGOSHO akifatiwa na:- Bishanga, NN,Husninyo, SL, Smile, Asprin, Mtambuzi(Nyie watu huwa mnanifanya nipaliwe kama na kitumdomoni serious!), AfrdoD, The finest, Lizzy, Mwali, Preta, Mamndenyi,Kingasti, AshaD, Kipipi(naomba niwe nakuita Kipipi wangu,haijalishi jinsi yako....aiiii wewe kubaliii basi) My husband(anajijua)+mke mwenzangu(anajielewa), The Boss(huyusijui kapotelea wapi siku hizi).
% kubwa ya wana JF nawapenda kwa ujumla ni wachache huwa wananikwazaaaa ila huwa nawapotezea......ni mambo ya kawaida katika jamiii.
Bishanga rudi hapa haraka sana utuambie unaemgwaya nani?????
[/QUOT]
Yummy,ahsante kwa kutambua uwepo wangu,baada ya hapo naomba nijilipue kama ifuatavyo:
ninayemkubali: anajifahamu.
Ninayemgwaya: Lizzy
Sababu za kumgwaya:
1.She is un predictable,hakawii kulipuka
2. Ana short fuse
3. Lovely akiwa akiwa kwenye good mood
4.Sa ingine kana dharau
Naomba nikiri sina ushahidi kama ashawahi kumsababishia mtu ban,but i will not be surprised.

Kha! kumbe?Yummy,ahsante kwa kutambua uwepo wangu,baada ya hapo naomba nijilipue kama ifuatavyo:
ninayemkubali: anajifahamu.
Ninayemgwaya: Lizzy
Sababu za kumgwaya:
1.She is un predictable,hakawii kulipuka
2. Ana short fuse
3. Lovely akiwa akiwa kwenye good mood
4.Sa ingine kana dharau
Naomba nikiri sina ushahidi kama ashawahi kumsababishia mtu ban,but i will not be surprised.
Wee Mwajei
we hamisi kishy, nataka nianze kukugwaya.
Khaaa! Makubwa tena haya.
Wee Mwajei
we hamisi kishy, nataka nianze kukugwaya.
Wee Mwajei
Kunigwaya maana yake ni kunila koni?