Mbona hauja I quote ipasavyo rafiki, na kuweka initials tuu😁 indeed lost imekaa poa ila huyo kiumbe aitwae BICHWA Hapana kwa kweli1) binti kiziwi
2) Natafuta Ajira
3) @d.... G
4) ShesRise_1
5) Equation x (Kuna namna anatizama mambo tofauti.Anafikirisha.)
6) BICHWA KOMWE - (Ukibahatika kumkuta anajadili ishu zinazohitaji akili kubwa utanielewa.)
Kwa unyenyekevu mkubwa nakuomba usiwe unanikwoti mdogo wangu🙏🙏Mbona hauja I quote ipasavyo rafiki, na kuweka initials tuu😁 indeed lost imekaa poa ila huyo kiumbe aitwae BICHWA Hapana kwa kweli
Fanya hima boss wangu nataka nilewe hadi nichakaeEbu pata chupa saba za wanzuki, nakuja kulipa sasa hivi
Nitumie namba ya jfpesaFanya hima boss wangu nataka nilewe hadi nichakae
Senkyu boss kubwa.Nitumie namba ya jfpesa
Mimi ni KILADHA. 😃😀😀😒😒1) binti kiziwi
2) Natafuta Ajira
3) @d.... G
4) ShesRise_1
5) Equation x (Kuna namna anatizama mambo tofauti.Anafikirisha.)
6) BICHWA KOMWE - (Ukibahatika kumkuta anajadili ishu zinazohitaji akili kubwa utanielewa.)
Hawa ni kweli haina ubishi ila hao wengine ni Genz tu wamejipachika wenyewe majina yao ili kuvimbaMshana Jr na Mayala
😃😃😃Mimi ni KILADHA. 😃😀😀😒😒
Kwani si ni home of Intellectuals ama Mkuu?Wewe uliye jiunga juzi
Kwahiyo tunaokuomba K unatuita mapapula? Hata Dr. Mariposa anayekusololea akunyonye kiss me naye ni mapampula?MALCOM LUMUMBA
Huyu member anaandika uzi mrefu lakini fact tupu..!!
Hajawahi kuwa na minyege ya hovyo jukwaani wala kuleta mizaha..!!
😹😹😹 Mliobaki wote mapampula ukweli usemwe..!!
Aisee😂😂Kwahiyo tunaokuomba K unatuita mapapula? Hata Dr. Mariposa anayekusololea akunyonye kiss me naye ni mapampula?
Lamomy Njoo unisaidie hapaAisee😂😂
Kiboko yako ni huyo, mimi unanionea tuMimi simo mkuu