Nani unatamani apigwe BAN

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kutokana na michango yake humu jukwaani ya kukela au isiyo na maana yeyote unatamani Mod chap wamuwahi na kumpiga BAN moja takatifu.

Cc Zero IQ
 
Kutokana na michango yake humu jukwaani ya kukela au isiyo na maana yeyote unatamani Mod chap wamuwahi na kumpiga BAN moja takatifu.

Cc Zero IQ
@moderators kwa kushirikiana na member mmoja **** wamempiga ban mshikaji wangu bmk kwa post ya ajabu kupata kutokea, jamaa yangu analia aliniomba id yangu na password atumie kupata news. Imenibidi nimsaidie tu ila mshikaji kaonyesha kujutia sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…