Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe sijajua maana sjawah kukweraKutokana na michango yake humu jukwaani ya kukela au isiyo na maana yeyote unatamani Mod chap wamuwahi na kumpiga BAN moja takatifu.
Cc Zero IQ
@moderators kwa kushirikiana na member mmoja **** wamempiga ban mshikaji wangu bmk kwa post ya ajabu kupata kutokea, jamaa yangu analia aliniomba id yangu na password atumie kupata news. Imenibidi nimsaidie tu ila mshikaji kaonyesha kujutia sana...Kutokana na michango yake humu jukwaani ya kukela au isiyo na maana yeyote unatamani Mod chap wamuwahi na kumpiga BAN moja takatifu.
Cc Zero IQ
Wewe mwenyewe unakera, penye "r" unaweka "l" !!Kutokana na michango yake humu jukwaani ya kukela au isiyo na maana yeyote unatamani Mod chap wamuwahi na kumpiga BAN moja takatifu.
Cc Zero IQ
Mimi hoi..!!Mimi nahitaji BAN
Naanza kuitafuta kuanzia leo hii...life BAN