Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya .

Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa kupendekeza majina mawili matatu ya wanasheria nguli mnaodhani wanaweza kufaa kupewa nafasi hiyo ili pamoja na mambo mengine wasaidie kufutilia mbali sheria kandamizi zilizopitishwa katika awamu iliyopita .

Natanguliza Shukrani
 
Kwani umeambiwa Mwanasheria mkuu amefukuzwa, akili za nyumbxxxxx ni ujinga mtupu, wanatengeneza imaginary tatizo wenyewe halafu wanaaanza kujiongelesha wenyewe tena.
Kifo cha Magu.....
Minyumbu inadhani inakaribia kutawala nchi inasahau ya kwamba CCM ni ile ile.....inapanga kabisa eti Lissu mwanasheria mkuu !!???
are you mad?
 
Kifo cha Magu.....
Minyumbu inadhani inakaribia kutawala nchi inasahau ya kwamba CCM ni ile ile.....inapanga kabisa eti Lissu mwanasheria mkuu !!???
are you mad?
[emoji3] mi yangu macho
 
Kwani umeambiwa Mwanasheria mkuu amefukuzwa, akili za nyumbxxxxx ni ujinga mtupu, wanatengeneza imaginary tatizo wenyewe halafu wanaaanza kujiongelesha wenyewe tena.
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti
 
Aliambiwa na Magu atulie atapewa kazi ya kufanya, kwa ujinga wake na kutokuona mbali akakimbia nchi; mtu mjinga namna hiyo atateuliwa na nani?
Kwa ufahamu wako kiduchu wewe ungeweza kuishi tanznaia iliyokua chini ya magufuli na upinzani mkubwa vile? f ikiri tena usiandike tu.
 
TULIENI VIJANA,
SIE NDIO LWANZA LEO MCHANA SAA NANE TUNA KETI LUMUMBA.

HATU HITAJI WAANDISHI WA HABARI.
 
Back
Top Bottom