raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
alberto msando wakili msomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya .
Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa kupendekeza majina mawili matatu ya wanasheria nguli mnaodhani wanaweza kufaa kupewa nafasi hiyo ili pamoja na mambo mengine wasaidie kufutilia mbali sheria kandamizi zilizopitishwa katika awamu iliyopita .
Natanguliza Shukrani
Aliyeingia kinyume cha sheria anawezaje kuwa mwanasheria mahiri ?Mtu ambaye anatakiwa kuwa mwanasheria mkuu wa Tanzania kwa kipindi hiki tulichopo watanzania ni lazima awe mtaalamu wa sana wa katiba na sheria za kimataifa: hasasa kwenye tafiti, usuluhishi wa migogoro, baishara za kimataifa, uwekezaji na rasilimali.Hivi vipengele viwili vya sheria ndivyo vimeshikilia mfumo mzima wa mwenendo wa nchi yetu hasa kwenye kipindi hiki cha utandawazi.
Profesa Kilangi mbali na kutotimiza kigezo cha muda, lakini ni moja kati ya wanasheria ambao wanazifahamu vizuri sana sheria za kimataifa na kuzifanyia kazi. Binafsi nashauri Raisi aendelee kumtumia huyu msomi wetu hata kama atateua mwanasheria mkuu mwingine. Nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kubwa sana, lakini sijui kwanini kwetu hapa tunakuwa tunafikiria kwamba kila mwanasheria anaweza kuipata.
Wewe umahiri wa mwanasheria unaupima kwa kutumia vigezo gani ???Aliyeingia kinyume cha sheria anawezaje kuwa mwanasheria mahiri ?
Minguruwe ya CCM mbona mnaweweseka?Kifo cha Magu.....
Minyumbu inadhani inakaribia kutawala nchi inasahau ya kwamba CCM ni ile ile.....inapanga kabisa eti Lissu mwanasheria mkuu !!???
are you mad?
Unabutuliwa wwMinguruwe ya CCM mbona mnaweweseka?
Moja ya umahiri wa Mwanasheria ni kuweka sheria zinazochochea haki kupatikana , si sheria kandamiziWewe umahiri wa mwanasheria unaupima kwa kutumia vigezo gani ???
Tuanze hapa ili tuwe ukurasa mmoja.
Bahati mbaya sana sasa, wanasheria hawatungi sheria: Hiyo mamlaka ni ya Bunge na Raisi.Moja ya umahiri wa Mwanasheria ni kuweka sheria zinazochochea haki kupatikana , si sheria kandamizi
Miswada inatoka wapi ?Bahati mbaya sana sasa, wanasheria hawatungi sheria: Hiyo mamlaka ni ya Bunge na Raisi.
Inter-ministerial Technical Committee.Miswada inatoka wapi ?
Hili suala muachia Samia. Hata hivyo, msitegemee mabadiliko makubwa hasa ikizingatiwa kuwa rais alikuwa akishirikiana naye kuwateua hawa waliopo japo si wote.Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya .
Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa kupendekeza majina mawili matatu ya wanasheria nguli mnaodhani wanaweza kufaa kupewa nafasi hiyo ili pamoja na mambo mengine wasaidie kufutilia mbali sheria kandamizi zilizopitishwa katika awamu iliyopita .
Natanguliza Shukrani
AG hayumo ?Inter-ministerial Technical Committee.
Ashirikiane na nani ? Thubutu !Hili suala muachia Samia. Hata hivyo, msitegemee mabadiliko makubwa hasa ikizingatiwa kuwa rais alikuwa akishirikiana naye kuwateua hawa waliopo japo si wote.
Inaongozwa na Chief Secretary, AG hushauri pale ambapo muswada umefika kwenye Baraza la Mawaziri.AG hayumo ?
Kwahiyo anahusika siyo ?Inaongozwa na Chief Secretary, AG hushauri pale ambapo muswada umefika kwenye Baraza la Mawaziri.
Ndivyo uonavyo mwanangu hata kama siyo hivyo.Ashirikiane na nani ? Thubutu !
Serikali nzima inahusika, wadau mbalimbali wanahusika, vyama vya upinzani vinahusika, mashirika binafsi n.kKwahiyo anahusika siyo ?