Jawabu ni CCM.
Je ni CCM pekee ? Tulikubali hilo na tukilikubali nini matokeo yake ?
Tegemeo kuu ni mwitikio wa wananchi katika majimbo yao majimbo ambayo kwa sasa inakaribia Tanzania nzima wananchi yameshaikataa CCM,uhakika ni kuzuka kufukuzwa wagombea wa CCM mchana kweupe,tumeona baada ya wasanii kumaliza mziki wananchi wanajiondokea na hili ni pigo takatifu kwa CCM.
Tusichoke kuwaamsha wananchi kuwa wao ndio wanaomchagua wamtakae na kumkataa wasio mtaka,ikifika wasio takiwa kufukuzwa au wananchi hujaa na mdundo ukimaliza watu huondoka,imetokea Mwanza ,imetokea Lushoto imetokea Zanzibar wananchi wanaondoka kwenye mikutano ya CCM kwa makundi na tumeshuhudia mgombea kutofika kwenye mkutano kwa kuwa wananchi hawakuhudhuria zaidi ya wavaa jezi ambao husombwa na magari kutoka kila kona.
Sasa ni wakati wa kuwaambia wananchi hawana haja ya kukaa kwenye mikutano ya CCM kwani hawana jipya ,huu ni wakati wa kujipanga kuidhibiti tume kikamilifu kuanzia kwenye uwakala na kuzilinda kura zisiwe frauded na wacheza tokomile.