Kwa hibyo muengereza alikua anakunywa maziwa ngombe wake hampigi?Muingwreza hajawahi kuwa mkoloni wa Tanganyika uongo.Mkoloni wa Tanganyika alikuwa mjerumani
Aliposhindwa vita Ulaya Tanganyika ilikabidhiwa kwa muingerexa kama Protectorate yaani Mwingereza atuangalie tu hadi tutakapokuwa tayari kujitawala atukabidhi .Tulipokuwa tayari akatukabidhi bila hata shida wala kumwaga damu