Kwa hibyo muengereza alikua anakunywa maziwa ngombe wake hampigi?Muingwreza hajawahi kuwa mkoloni wa Tanganyika uongo.Mkoloni wa Tanganyika alikuwa mjerumani
Aliposhindwa vita Ulaya Tanganyika ilikabidhiwa kwa muingerexa kama Protectorate yaani Mwingereza atuangalie tu hadi tutakapokuwa tayari kujitawala atukabidhi .Tulipokuwa tayari akatukabidhi bila hata shida wala kumwaga damu
Tena inawasomi waliosoma Francis na div 1. Lkn ukiwakuta humu comment zao utadhani wamesoma shule za kata waliokuwa wanakaa chini.Utajiri wa kwanza ni kujitafutia uhuru wa kweli,heshma na haki ya kuiishi.
Ukiwa mjinga saaana huwezi elewa hilo.
Katiba ya tzi inampa mtu mmoja na kikundi akipendacho haki ya kuamulia wooote atakavyo yeye na genge lake,ni aibu kuu Leo nchi inajiita inawatu werevu na inaongozwa na katiba ya kikoloni!!!
Nikupe ushahidi? Au wewe kweli mwehu..Nani anauza silaha kule.? Ujerumani hauzi silaha? UK jee? American hasaidi? Wawapi wewe chongo?Nato, marekani , uingereza wapo wapi mbona wewe mnafiki na muwongo hivi mataifa haya makubwa ni wakupigana na hamas wanaojificha nyuma za wowo za wanawake wa Gaza na watoto
Marekani yaapa kuiunga mkono Israel huku kukiwa na hofu ya mashambulizi ya IranNato, marekani , uingereza wapo wapi mbona wewe mnafiki na muwongo hivi mataifa haya makubwa ni wakupigana na hamas wanaojificha nyuma za wowo za wanawake wa Gaza na watoto
Nasikia wazee wa kiislamu walikuwa wamaunda taasisi ya kijamii (taa) lakini vijana waliokuwa wanasoma Makerere, Uganda ndio waliasisi wazo la kubadilisha taa kuwa chama ya kisiasa - tanu- kwa ajili ya kuanzisha vuguvugu la kupata uhuru. Kwa maneno mengine waliunganisha nguvu zao na hatimaye kufanikiwa.Uhuru kama sio wazee wa kiislamu kuingilia hadi leo Muengereza angalikuwa anatawala Tanganyika
Kwani kuipa silaha ndio unapigana nae je mfano iran amempa urusi ndege za shaheed je iran anapigana na ukraine?Nikupe ushahidi? Au wewe kweli mwehu..Nani anauza silaha kule.? Ujerumani hauzi silaha? UK jee? American hasaidi? Wawapi wewe chongo?
Mwehu wewe..huko shule umeenda kujifunza ujingaKwani kuipa silaha ndio unapigana nae je mfano iran amempa urusi ndege za shaheed je iran anapigana na ukraine?