Nani Wa Kulaumiwa Kati Ya TFF na Serikali/Wizara

Nani Wa Kulaumiwa Kati Ya TFF na Serikali/Wizara

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Tumekuwa tukililia utawala wa sheria lakini napata fikra kwamba tafsiri yake tunaifinya sana kwa kuangalia tunayopenda kuyaona au kuyasikia.

TFF wameweka kanuni tena inayotoa muda wa chini kwa kutumia neno walau. Leo wanakuwa vinara wa kuivunja na bado tunawatetea. Sitaki kuamini kwamba kulikuwa na sababu ya maana na yenye maslahi kwa soka. Ndiyo maana wameahirisha mechi badala ya kuiadhibu Yanga kwa kutotokea uwanjani katika muda walioupanga wao TFF. Kitendo cha kuzima taa uwanjani kabla ya saa moja, muda wa kuanza mechi, ni testimony kuwa walijua mechi haitachezwa na wao ndiyo sababu ya mkanganyiko huu wa fedheha.

Sitaki kuamini kuwa Yanga imeiogopa Simba, kama ambavyo Simba haiwezi kuwa ingeiogopa Yanga. Timu zote zilijiandaa kucheza leo lakini wanekwamishwa na TFF na mazoea yao ya kutosimamia sheria kwa haki ndiyo, na ndiyo imetufikisha hapa.

Ilikuwa lazima Yanga wajitoe mhanga ili sanity kwenye soka yetu irejee. Pengine hii ni fursa kwa wanasoka kupima kama bado tunahitaji kuongozwa na uongozi ambao kwa kipindi cha uongozi wao malalamiko ya kutofuata kanuni yameongezeka sana.

It takes some bravery to change the course of things. Ndiyo maana hata Azam nao wamekuwa na malalamiko kama hayo.

Fortunately, huu ni mwaka wa uchaguzi.

By Adv. Josh J
 
Tukiacha Ushabiki Kabisa, Ni wazi kuwa mamlaka zinazohusika zimeharibu hii derby. Kanuni na utaratibu umekiukwa bila kujali athari kwa timu husika, mashabiki wapenzi wa soka na media zenye tv rights ya kuonyesha mechi hii ambazo zina specific allocated time na targeted audiences.

Tuheshimu sheria, kanuni, taratibu na utamaduni unaoendesha mpira kwa maendeleo ya nchi yetu.
 
TFF washenzi sana
Brother TFF hii imepoteza chochote cha kuipa kuaminiwa. Hiyo protest siyo kwa mambo ya msingi kama hayo.

Wamezoea kufanya mambo kwa convenience na kufurahisha wanaowataka wao. Hakuna mwalikwa na mwenyeji kwenye mchezo huu wa mpira.

Narudia tena, ukiona TFF hii yenye propensity ya kuiadhibu Yanga wakiahirisha mechi ikueleze kitu. Let's use this opportunity to fix our soccer. Weed out impunity.
 
TFF wanamakosa..wameshindwa kuishauri serikali au wizara,walipewa agizo wakashindwa kuishauri serikali juu ya kanuni ambazo wao TFF wanazifahamu na madhara yake.
 
Tumekuwa tukililia utawala wa sheria lakini napata fikra kwamba tafsiri yake tunaifinya sana kwa kuangalia tunayopenda kuyaona au kuyasikia. TFF wameweka kanuni tena inayotoa muda wa chini kwa kutumia neno walau. Leo wanakuwa vinara wa kuivunja na bado tunawatetea. Sitaki kuamini kwamba kulikuwa na sababu ya maana na yenye maslahi kwa soka. Ndiyo maana wameahirisha mechi badala ya kuiadhibu Yanga kwa kutotokea uwanjani katika muda walioupanga wao TFF. Kitendo cha kuzima taa uwanjani kabla ya saa moja, muda wa kuanza mechi, ni testimony kuwa walijua mechi haitachezwa na wao ndiyo sababu ya mkanganyiko huu wa fedheha.

Sitaki kuamini kuwa Yanga imeiogopa Simba, kama ambavyo Simba haiwezi kuwa ingeiogopa Yanga. Timu zote zilijiandaa kucheza leo lakini wanekwamishwa na TFF na mazoea yao ya kutosimamia sheria kwa haki ndiyo, na ndiyo imetufikisha hapa.

Ilikuwa lazima Yanga wajitoe mhanga ili sanity kwenye soka yetu irejee. Pengine hii ni fursa kwa wanasoka kupima kama bado tunahitaji kuongozwa na uongozi ambao kwa kipindi cha uongozi wao malalamiko ya kutofuata kanuni yameongezeka sana.

It takes some bravery to change the course of things. Ndiyo maana hata Azam nao wamekuwa na malalamiko kama hayo.

Fortunately, huu ni mwaka wa uchaguzi.

By Adv. Josh J
Wote ni wapumbavuu na washenzi tu...watu wamesafiri kutoka mbali, wamelala lodge, wengine wametembea kwa miguu kutoka kigoma kuja kuangalia game halafu washenzi na wajinga na animals wanajifikiria wao tu ...ni maamuzi ya kishenzi na kinyama
 
Mama ndo kasema.
Mamaa,,,mamaa'mamaaa,,,mama uyo",,mama mama uyoo mamaa.
 
Back
Top Bottom