Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tumekuwa tukililia utawala wa sheria lakini napata fikra kwamba tafsiri yake tunaifinya sana kwa kuangalia tunayopenda kuyaona au kuyasikia.
TFF wameweka kanuni tena inayotoa muda wa chini kwa kutumia neno walau. Leo wanakuwa vinara wa kuivunja na bado tunawatetea. Sitaki kuamini kwamba kulikuwa na sababu ya maana na yenye maslahi kwa soka. Ndiyo maana wameahirisha mechi badala ya kuiadhibu Yanga kwa kutotokea uwanjani katika muda walioupanga wao TFF. Kitendo cha kuzima taa uwanjani kabla ya saa moja, muda wa kuanza mechi, ni testimony kuwa walijua mechi haitachezwa na wao ndiyo sababu ya mkanganyiko huu wa fedheha.
Sitaki kuamini kuwa Yanga imeiogopa Simba, kama ambavyo Simba haiwezi kuwa ingeiogopa Yanga. Timu zote zilijiandaa kucheza leo lakini wanekwamishwa na TFF na mazoea yao ya kutosimamia sheria kwa haki ndiyo, na ndiyo imetufikisha hapa.
Ilikuwa lazima Yanga wajitoe mhanga ili sanity kwenye soka yetu irejee. Pengine hii ni fursa kwa wanasoka kupima kama bado tunahitaji kuongozwa na uongozi ambao kwa kipindi cha uongozi wao malalamiko ya kutofuata kanuni yameongezeka sana.
It takes some bravery to change the course of things. Ndiyo maana hata Azam nao wamekuwa na malalamiko kama hayo.
Fortunately, huu ni mwaka wa uchaguzi.
By Adv. Josh J