NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wewe umesaini mchezaji gani wa maana..ameshindwa kulipa misharaha mikubwa watu wanakimbiaSimba SC bado Iko kienyeji sana timu yetu bado sana inasajili kwa lonya lonya, kelele mingi ufanisi sifuri timu inafumuka Kila mwaka hovyo
Jikite kwenye hojaUnaacha kuongea ya Bangala unakimbilia ya Luis..we jamaa
Ndiyo huyu huyu.Ndio huyu Makolo walikua wanasema anadaka mpaka madeni? Kumbe mtu mwenyewe yuko na pancha?
Bangala au feisal
Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.Bado uwezekano upo ila sitakwambia kwa jinsi gani anaweza ingia