Nani wa kulaumiwa katika usajili huu wa kipa Robertinho au head of scouting aliyeajiliwa na Simba sc kwa lengo la kuleta wachezaji Bora??

Mayele kaondoka Yanga kwasababu yeye mwenyewe kataka kuondoka kutafuta changamoto nyingine.

Mchezaji anayepelekwa kwa mkopo ni yule ambaye hawezi kusaidia timu kutokana na kiwango chake ( hana msaada au pengine hamna umuhimu wake)
Mayele alisema amekuja TZ kutafuta hela, Yanga ingempa pesa ya kueleweka asingeondoka sehemu ambayo ameshajijengea ufalme wake aende kuanza upya tena kwa waarabu.

Kuhusu mkopo, mchezaji yoyote anaweza kutolewa kwa mkopo, sheria haisemi hivyo ulivyotaja ndiyo vigezo pekee. Ni timu na mchezaji husika kuridhia. Pia umeskip niliposema Azam wanaweza pia kumuuza. Kumbuka yupo pia Peter Banda anayeweza kuwa sehemu ya package hiyo ya mauzo.

Narudia, tusiongee sana maana ni masaa machache yamebaki tutajua hatma ya hili suala.
 
Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.

Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.

My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.

Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.

View attachment 2703044
Shida nini?
Si hata ukitaka kuajiri lazima mtu apite kwenye vipimo kwanza,vikifeli unaanza upya shida iko wapi watanzania?
Mbona tunakuwa washamba sana?
 
Ule utamaduni wetu wakusajili wachezaji bila kuwa fanyia check up in deep,bado hatuja jifunza kabisa. Ndio maana sometimes tuwekege na akiba za maneno kuhusu hizi sajili za timu zetu kwani zimejaa wahuni.

Sasa hapa maswali ya kujiuliza,wamesha msainisha hiyo contract ya miaka miwili au alikuja tu kufanya majaribio. Kama wamemsainisha hapo tena wamejifunga wenyewe,itabidi wamlipe mzigo wake.
 
Mambo ya twita [emoji41]
1690727737628.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mayele alisema amekuja TZ kutafuta hela, Yanga ingempa pesa ya kueleweka asingeondoka sehemu ambayo ameshajijengea ufalme wake aende kuanza upya tena kwa waarabu.

Kuhusu mkopo, mchezaji yoyote anaweza kutolewa kwa mkopo, sheria haisemi hivyo ulivyotaja ndiyo vigezo pekee. Ni timu na mchezaji husika kuridhia. Pia umeskip niliposema Azam wanaweza pia kumuuza. Kumbuka yupo pia Peter Banda anayeweza kuwa sehemu ya package hiyo ya mauzo.

Narudia, tusiongee sana maana ni masaa machache yamebaki tutajua hatma ya hili suala.
Yanga haiwezi kumpa pesa mchezaji kana kwamba yeye ndio kipa, ndio beki, ndio kiungo na ndio mshambuliaji. Ile ni timu hivyo hakutakuwa na mpishano mkubwa kiasi kwamba wengine wakajiona sio sehemu ya timu. Uongozi upo kujenga timu sio kutengeneza matabaka ya timu. Fikiria kwanza athari yake endapo Mayele angelipwa mshahara wa milioni 40 kwa mwezi huku wengine wapo chini ya 25M. Kaachwa akapate ela anazozitafuta.
 
Tusiongee sana, siku hizi sibishani na watu. Natoa kauli halafu nakaa pembeni. Dirisha la usajili halijafungwa na nyie Yanga siku hizi mmekuwa na kauli ya mpira ni biashara, sasa kinachoshindikana ni nini. Kwani Yanga haikuwa inamuhitaji Mayele? Na timu ikimsajili mchezaji na hapo hapo ikamuuza au kumtoa kwa mkopo na mchezaji akaridhia, ni sheria gani na taratibu zinakuwa zimekiukwa?

Ni kama umepaniki hivi kusoma nilichoandika, unaombea kisitokee 😀 😀 😀
Ila jamaa yangu unaota aisee. Yaani unahisi Bangala anakuja simba??
Kwa janjajanja ipi, ona kama hapo hamna kipa sidhani kama viongozi wako wanamuwazia huyo Bangala.

Nungi nungu katua jangwani kilaini kabisa, sasa nyie mnashindwa nini kumvuta Bangala hadi kaenda Azam??
 
Yanga haiwezi kumpa pesa mchezaji kana kwamba yeye ndio kipa, ndio beki, ndio kiungo na ndio mshambuliaji. Ile ni timu hivyo hakutakuwa na mpishano mkubwa kiasi kwamba wengine wakajiona sio sehemu ya timu. Uongozi upo kujenga timu sio kutengeneza matabaka ya timu. Fikiria kwanza athari yake endapo Mayele angelipwa mshahara wa milioni 40 kwa mwezi huku wengine wapo chini ya 25M. Kaachwa akapate ela anazozitafuta.
Kwani hapo kabla alikuwa analipwa kiasi gani? Kwani hakuna wachezaji wanaolipwa milioni 4 pale Yanga sasa hivi?
 
Ila jamaa yangu unaota aisee. Yaani unahisi Bangala anakuja simba??
Kwa janjajanja ipi, ona kama hapo hamna kipa sidhani kama viongozi wako wanamuwazia huyo Bangala.

Nungi nungu katua jangwani kilaini kabisa, sasa nyie mnashindwa nini kumvuta Bangala hadi kaenda Azam??
Dirisha la usajili halijafungwa tusiongee sana. Mkude aliachwa kiroho safi, hakuna mtu anamuwazia. Yanga haikumuacha Bangala bali imemuuza, halinganisha na kilichotokea kwa Mkude. Simba wangegonga hodi Yanga kumtaka Bangala, mngekuja na hesabu zenu zile za bilioni 4 kama wakati ule mnajimwambafai kuhusu Feisal.

Niliwapa onyo kwamba safari hii tutawakumbusha ujanja tuliuanza sisi.
 
Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.

Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.

My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.

Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.

View attachment 2703044
Wamtafute Peter Manyika faster
 
Kwa hiyo unaamini kabisa sababu hasa ya kuachwa kwake ni majeraha!!
Ndio naamini.

Kwani wao kabla hawajamsajili hawakuweza kuona huo ubovu wa performance yake kwenye goal keeping?

Kwamba we unaamini walimsajili ili waje kumfukuza?

Dirisha linafungwa kesho so ndio kusema management ilisubiri siku zote hizo zipite ili leo waje kumtema tena wakiwa hawana backup?
 
Back
Top Bottom