Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Mayele alisema amekuja TZ kutafuta hela, Yanga ingempa pesa ya kueleweka asingeondoka sehemu ambayo ameshajijengea ufalme wake aende kuanza upya tena kwa waarabu.Mayele kaondoka Yanga kwasababu yeye mwenyewe kataka kuondoka kutafuta changamoto nyingine.
Mchezaji anayepelekwa kwa mkopo ni yule ambaye hawezi kusaidia timu kutokana na kiwango chake ( hana msaada au pengine hamna umuhimu wake)
Akikujibu nitagUmemsahau pia na Scars. Naye alikaza sana fuvu kumtetea huyo golikipa wakati tulipoonesha wasiwasi wetu, mara tu aliposajiliwa.
Shida nini?Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.
Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.
My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.
Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.
View attachment 2703044
Yanga haiwezi kumpa pesa mchezaji kana kwamba yeye ndio kipa, ndio beki, ndio kiungo na ndio mshambuliaji. Ile ni timu hivyo hakutakuwa na mpishano mkubwa kiasi kwamba wengine wakajiona sio sehemu ya timu. Uongozi upo kujenga timu sio kutengeneza matabaka ya timu. Fikiria kwanza athari yake endapo Mayele angelipwa mshahara wa milioni 40 kwa mwezi huku wengine wapo chini ya 25M. Kaachwa akapate ela anazozitafuta.Mayele alisema amekuja TZ kutafuta hela, Yanga ingempa pesa ya kueleweka asingeondoka sehemu ambayo ameshajijengea ufalme wake aende kuanza upya tena kwa waarabu.
Kuhusu mkopo, mchezaji yoyote anaweza kutolewa kwa mkopo, sheria haisemi hivyo ulivyotaja ndiyo vigezo pekee. Ni timu na mchezaji husika kuridhia. Pia umeskip niliposema Azam wanaweza pia kumuuza. Kumbuka yupo pia Peter Banda anayeweza kuwa sehemu ya package hiyo ya mauzo.
Narudia, tusiongee sana maana ni masaa machache yamebaki tutajua hatma ya hili suala.
Ila jamaa yangu unaota aisee. Yaani unahisi Bangala anakuja simba??Tusiongee sana, siku hizi sibishani na watu. Natoa kauli halafu nakaa pembeni. Dirisha la usajili halijafungwa na nyie Yanga siku hizi mmekuwa na kauli ya mpira ni biashara, sasa kinachoshindikana ni nini. Kwani Yanga haikuwa inamuhitaji Mayele? Na timu ikimsajili mchezaji na hapo hapo ikamuuza au kumtoa kwa mkopo na mchezaji akaridhia, ni sheria gani na taratibu zinakuwa zimekiukwa?
Ni kama umepaniki hivi kusoma nilichoandika, unaombea kisitokee 😀 😀 😀
Mkangi oleNdio huyu Makolo walikua wanasema anadaka mpaka madeni? Kumbe mtu mwenyewe yuko na pancha?
Kwani hapo kabla alikuwa analipwa kiasi gani? Kwani hakuna wachezaji wanaolipwa milioni 4 pale Yanga sasa hivi?Yanga haiwezi kumpa pesa mchezaji kana kwamba yeye ndio kipa, ndio beki, ndio kiungo na ndio mshambuliaji. Ile ni timu hivyo hakutakuwa na mpishano mkubwa kiasi kwamba wengine wakajiona sio sehemu ya timu. Uongozi upo kujenga timu sio kutengeneza matabaka ya timu. Fikiria kwanza athari yake endapo Mayele angelipwa mshahara wa milioni 40 kwa mwezi huku wengine wapo chini ya 25M. Kaachwa akapate ela anazozitafuta.
Dirisha la usajili halijafungwa tusiongee sana. Mkude aliachwa kiroho safi, hakuna mtu anamuwazia. Yanga haikumuacha Bangala bali imemuuza, halinganisha na kilichotokea kwa Mkude. Simba wangegonga hodi Yanga kumtaka Bangala, mngekuja na hesabu zenu zile za bilioni 4 kama wakati ule mnajimwambafai kuhusu Feisal.Ila jamaa yangu unaota aisee. Yaani unahisi Bangala anakuja simba??
Kwa janjajanja ipi, ona kama hapo hamna kipa sidhani kama viongozi wako wanamuwazia huyo Bangala.
Nungi nungu katua jangwani kilaini kabisa, sasa nyie mnashindwa nini kumvuta Bangala hadi kaenda Azam??
Kwa hiyo unaamini kabisa sababu hasa ya kuachwa kwake ni majeraha!!Majeraha yana uhusiano gani na uwezo wake?
Amenijibu kinyoonge!! 😃Akikujibu nitag
Hadi nimeona huruma kumjibuAmenijibu kinyoonge!! 😃
Wamtafute Peter Manyika fasterBaada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.
Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.
My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.
Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.
View attachment 2703044
Ndio naamini.Kwa hiyo unaamini kabisa sababu hasa ya kuachwa kwake ni majeraha!!