Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kujiandaa kugombea sensa ya makazi na watu
huku wangine wakisema kuwa haina tija kwa taifa na kwa yeye binafsi. Napenda kuwapa
onyo kwa wote ambao wanampango wa kugomea hii sensa hawatapewa vitambulisho vya utaifa.
Hizi takwimu za sensa ndo zitatumiaka kuandaa vitambulisho vya UTAIFA
Na kwa wale wanaosema watashianda kwenye majumba ya kuabudia na kutoka nyumbani mapema na
kurudi wamechelewa, nawaonya mkae majumbani muhesabiwe maani hii itakukosesha kitambulisho chako cha
uraia maana hutahesabika kama mtanzania
Ujumbe:Usipoteze utaifa wako kaa uhesabiwe
:israel:
Dr. Kupeng'e
PHD, Sockholm University