Nani wa kulaumiwa???

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549


UTANGULIZI (RADHI)

Siku tatu zilizo pita, tumeleta maada ya bikra, ambayo imeleta hisia tofauti miongoni mwa wachangiaji katika jukwaa hili. Naomba radhi kwa wale ambao iliwakera hatukuwa na nia yoyote mbaya.

Lakini katika hoja zilizo jitokeza inaonekana kuna upande unatakiwa ujirekebishe ( wanaume/ Wanawake) .

NANI WA KULAUMIWA.

Wanawake wanadai kuwa wanaume ndio chanzo cha matatizo kwani ni watongozaji kupita kiasi,watelekezaji, hawana huruma, waongo, sio wakuamika,etc hadi kwa vibiNti visivyo jua lolote wao ni mwendo mmoja, BADALA YA KUWALINDE WAO NDIO WA KWANZA KUWAHARIBU. Ati hata jogoo hampandi tete mchanga hata siku moja.

Wanaume wanadau wanawake wa siku hizi hata ukiuliza direction (njia) ataomba umtongoze kwanza, na hawakawi kukufungulia geti.Hakuna gnuvu ya ziada, wanadaizamani kwanza ukimtongozo msichana anaangalia chini,na fanya kazi kumshawishi akubali *****.

Sasa je Ni upande upi unamakosa na unatakiwa ujirekebishe ili tujenge jamii yenye maadili kwa sasa na kizazi kijacho.

Je wanaume mpo tayari kupigwa vibuti hadi umvalishe pete mbele ya mchungaji au chekh???.

Je wanawake mpo tayari kuishi bila kutongozwa????, Hili haliwezekani, lakini wawatongoze namna gani?? (masharti).


Kumbuka.

Mwanamke anapenda kwa moyo na wanaume anapenda kwa macho.

SWALI, JE TUMLAUMU NANI??, SHETANI??,POMBE??, TAMAA??, MWANAUME??, MWANAMKE?? AU KILA MTU AJILAUMU EYEY MWENYEWE??.

AMRI MPYA NAWAPA MPENDANE.
 
bado elimu ya uraia haia tifikia.
 
Wanaume ndi wa kwanza kulaumiwa. Tongozeni kqwa nidhamu, heshimuni malengo yetu ya baadaye, tulindeni na siyo viongozi wa uharibifu. hapo vibuti hamta visikia.
 
Kila upande una mapungufu yake,lakini tujue kwamba mara nyingi wanaume ndiye anayetongoza na maamuzi ya uhusiano ni wa muda gani,wa kufikia malengo gani anao yeye.....kuna mwanaume wanakuwa na wanawake from siku ya kwanza anajua hatamuoa,yani ye anataka alale nae then aondoke,au ana taka uchi wake tu......tatizo hamsemi kuwa ndicho mnachotaka,kwahiyo sisi wasichana tunakuwa na expectation nyingi,tunajitoa,tunawaweka maanani,siku ya siku,unatafuta sababu ya kumuacha unamuacha unaenda kuoa mwingine.
Najua sometimes unakuwa na mwanamke kwenye uhusiano mambo hayaendi mnaamua yaishe,mnaachana kwa amani,hii haina shida.
Ukweli wanaume ni wakujirekebisha.Kwa upande wa wanawake,mara nyingi sisi tunasikiliza na kuamini kile tunachofanyiwa/tunachosikia kutoka kwa wale tunaohusina nao,hatuwezi soma roho ya mwanaume,so tunakubali na pengine kutoa miili yetu....nafikiri kila mtu aamue kufanya/au kutokufanya mapenzi na mwenzie kutokana na namna uhusiano ulivyo,kuna wanaume/wanawake hawataki kabisa kuoa/kuolewa bila kufanya mapenzi,sasa mtu unashindwa ufanyeje,ni wachache sana wanakubali,so kwetu kina dada kila mtu aamue anachotaka..
 
:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
 

Je na wale wanao toa masharti ya kukuoa lazima ulale naye, tuwaweke wapi?? Au wanahaki hiyo??
 
Je na wale wanao toa masharti ya kukuoa lazima ulale naye, tuwaweke wapi?? Au wanahaki hiyo??

Wana haki hiyo,ni suala la wewe kuangalia na kuamua je umsikilize na utii anachosema au lah!
 
haya sasa hii ndo ile mizunguko
ya kukimbizana kwenye meza ya mviringo..

usema ukweli wanaume hawata acha kuwa wanaume
na wanake lazima tutatongozwa taka tusitake...

usema ukweli hakuna wakulaumiwa...
na huwezi laaumu pombe au shetani maana huo utakuwa uongo mtakatifu...
 
Wana haki hiyo,ni suala la wewe kuangalia na kuamua je umsikilize na utii anachosema au lah!

Ni Kweli lakini huoni kama, ni sharti gumu. Wanaume wanajua mnapenda kuolewa na yeye anapenda ile kitu. Kwa hiyo kubadilishana hivyo viwili ni rahisi mno lakini yupo atakaye punjwa. Siku zote ni mwanamke kwani mwanaume akisha shiba ndoo hivyo anaenda kutafuta malisho sehemu nyingine.

Swali la pili. Wanawake wanao jitoa ,lazimisha ufanye nao mapenzi ili uwaoe, tuwapeleke takukuru??
 

Nimefurahi, kukuona hapa !!
Umeona jina langu jipya??.
 
Kwani lazima mwanamke atoe uchi? au ndio huruma?
 
Nimefurahi, kukuona hapa !!
Umeona jina langu jipya??.[/QUOT]

Tabutupu
Tuputabu
Tabutupu
mmmmhhhhhhhh
usijali na practise tu kusema lol
is not too bad actually
na kwanini ulichagua hilo???
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…