Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
UTANGULIZI (RADHI)
Siku tatu zilizo pita, tumeleta maada ya bikra, ambayo imeleta hisia tofauti miongoni mwa wachangiaji katika jukwaa hili. Naomba radhi kwa wale ambao iliwakera hatukuwa na nia yoyote mbaya.
Lakini katika hoja zilizo jitokeza inaonekana kuna upande unatakiwa ujirekebishe ( wanaume/ Wanawake) .
NANI WA KULAUMIWA.
Wanawake wanadai kuwa wanaume ndio chanzo cha matatizo kwani ni watongozaji kupita kiasi,watelekezaji, hawana huruma, waongo, sio wakuamika,etc hadi kwa vibiNti visivyo jua lolote wao ni mwendo mmoja, BADALA YA KUWALINDE WAO NDIO WA KWANZA KUWAHARIBU. Ati hata jogoo hampandi tete mchanga hata siku moja.
Wanaume wanadau wanawake wa siku hizi hata ukiuliza direction (njia) ataomba umtongoze kwanza, na hawakawi kukufungulia geti.Hakuna gnuvu ya ziada, wanadaizamani kwanza ukimtongozo msichana anaangalia chini,na fanya kazi kumshawishi akubali *****.
Sasa je Ni upande upi unamakosa na unatakiwa ujirekebishe ili tujenge jamii yenye maadili kwa sasa na kizazi kijacho.
Je wanaume mpo tayari kupigwa vibuti hadi umvalishe pete mbele ya mchungaji au chekh???.
Je wanawake mpo tayari kuishi bila kutongozwa????, Hili haliwezekani, lakini wawatongoze namna gani?? (masharti).
Kumbuka.
Mwanamke anapenda kwa moyo na wanaume anapenda kwa macho.
SWALI, JE TUMLAUMU NANI??, SHETANI??,POMBE??, TAMAA??, MWANAUME??, MWANAMKE?? AU KILA MTU AJILAUMU EYEY MWENYEWE??.
AMRI MPYA NAWAPA MPENDANE.