Nani wa kulaumiwa???

 
Mimi Bado ninaamini kabisa Mwanamke anayo say ya mwisho juu ya nini kifanyike na nini kisifanyike katika mwili wake.... hivyo uamuzi wa kukitunza au kukiondoa kizinda ni wa MWANAMKE........Kama mgeni mwalikwa anataka kuponja ladha ya chakula kabla ya muda wa kula na mwenyeji akakataa kwa kuwa muda wa kula haujafika ikisha yule mwalikwa akaamua kususa na kuondoka basi ni wazi mgeni mwalikwa huyu hakuwa na mapenzi na mwenyeji alomwalika bali chakula chhake.......si mgeni mzuri.

Hata kwenye Biblia tunasimuliwa hadithi ya Bwana aloandaa karamu kisha waalikwa wakaanza kutoa excuse za kutokuweza kuoa huku wengine wakisema wameoa wake wapya so wanakwenda kuwatest.........aliwaalika ombaomba barabarani kwa ajili ya chakula kile. So si kila mgeni ana mapenzi na mwenyeji mwandaa karamu.
 
 
hakuna wa kulaumiwa. ndiyo asili ya viumbe vyote na si mwanadamu tu. kila kiumbe dume hutongoza na jike hukataakataa lakini hatimaye hukubali. tafauti ya wanadamu na wanyama wengine ni kuwa sisi tuna akili na busara itokananayo na maarifa na uzoefu. ni asili haina tatizo. labda tatizo ni huu ujuaji wa siku hizi na kukaidi maadili hata yale yaliyo mazuri kwa visingizio mbalimbali. maarifa na nusara zetu zimeanza kuwa tatizo badala ya msaada. wanyama wengine wanaojamiiana wana discipline, huwezi kukuta wanajamiiana kinyume cha maumbile wala wakati ambao si muafaka.

generally wanyama hujamiiana kwa lengo la uzazi tu ila sisi binadamu tumegeuza starehe na burudani. imefikia hatua hata tukipata mimba tunaona inaleta kero tunatoa ili tuendelee na starehe zetu. wanyama hawana shahada za vyuo kikuu lakini wanajua saa ngapi wakipandana mimba itapatikana na hawakosei. wanatumia pua tu kjua majira sahihi ya kujamiana! siku moja tusijeshangaa tunalazimika kujifunza kwa hao!
 

Kama takukuru wanashughulikia kesi kama hizi peleka tu,ila nasi pia tuna maamuzi yetu na mahitaji kama hilo na ni lazima yaheshimiwe.:eyeroll1:
 
Kama takukuru wanashughulikia kesi kama hizi peleka tu,ila nasi pia tuna maamuzi yetu na mahitaji kama hilo na ni lazima yaheshimiwe.:eyeroll1:

Mie hako naona kama karushwa fulani hivi??.Kwa nini usisubiri hunimani mpaka unipe nionje tena bura?? kulikoni?
 

Nimekuelewa, laini Judith mie naamini wa kulaumiwa yupo. Hi gawa gawa na gawia gawia imezidi. Inawezekana ni upande mmoja ndio umezidi offsides.
 
unajua katka memba wa JF ninaoheshim sana post zao ni huyu hapa juu na WOS. sjui kwanini walahi? big up MJ1.
 
 
 
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…