Nani wa kulaumiwa???

Nani wa kulaumiwa???

mmmmhh hakuna wa kulaumiwa klorokwini dear...
kila mtu atakuwa amechangia kwa kiasi fulani kakati makosa..
lol..
vp tu upgrade dear mpaka darling nini? waifu hajarudi holidei ujue. lol

bek to ze topic. mimi nahisi nyinyi mnabeba lawama zaidi, serikali mnayo nyinyi inakuwaje mnaturuhusu kukupindueni kizembe zembe hata upinzani hamtoi?
 
Mimi Bado ninaamini kabisa Mwanamke anayo say ya mwisho juu ya nini kifanyike na nini kisifanyike katika mwili wake.... hivyo uamuzi wa kukitunza au kukiondoa kizinda ni wa MWANAMKE........Kama mgeni mwalikwa anataka kuponja ladha ya chakula kabla ya muda wa kula na mwenyeji akakataa kwa kuwa muda wa kula haujafika ikisha yule mwalikwa akaamua kususa na kuondoka basi ni wazi mgeni mwalikwa huyu hakuwa na mapenzi na mwenyeji alomwalika bali chakula chhake.......si mgeni mzuri.

Hata kwenye Biblia tunasimuliwa hadithi ya Bwana aloandaa karamu kisha waalikwa wakaanza kutoa excuse za kutokuweza kuoa huku wengine wakisema wameoa wake wapya so wanakwenda kuwatest.........aliwaalika ombaomba barabarani kwa ajili ya chakula kile. So si kila mgeni ana mapenzi na mwenyeji mwandaa karamu.
 
vp tu upgrade dear mpaka darling nini? waifu hajarudi holidei ujue. lol

bek to ze topic. mimi nahisi nyinyi mnabeba lawama zaidi, serikali mnayo nyinyi inakuwaje mnaturuhusu kukupindueni kizembe zembe hata upinzani hamtoi?

mmmhhh dear ????? darling?????
mmhh mie naona tuache hapo hapo kwenye dear
hahahah lol

mmmmhh haya nona umeanza kunichokoza??lol
unajua ni rahisi sana kutupiana mawe..
kuliko kukaa chini na kuelewana ...

sana sana hapa tutarudi kule kwenye "mwanaume anacheat kwa sababu mke wake hampi kinachotakiwa"
na sisi tunaibu " Nanyie mngetulia ndani ya ndoa basi tungewapa mnchotaka"

ndo maaa nikasema hapa ni tunafukuzana kwenyemeza ya mviringo...
 
hakuna wa kulaumiwa. ndiyo asili ya viumbe vyote na si mwanadamu tu. kila kiumbe dume hutongoza na jike hukataakataa lakini hatimaye hukubali. tafauti ya wanadamu na wanyama wengine ni kuwa sisi tuna akili na busara itokananayo na maarifa na uzoefu. ni asili haina tatizo. labda tatizo ni huu ujuaji wa siku hizi na kukaidi maadili hata yale yaliyo mazuri kwa visingizio mbalimbali. maarifa na nusara zetu zimeanza kuwa tatizo badala ya msaada. wanyama wengine wanaojamiiana wana discipline, huwezi kukuta wanajamiiana kinyume cha maumbile wala wakati ambao si muafaka.

generally wanyama hujamiiana kwa lengo la uzazi tu ila sisi binadamu tumegeuza starehe na burudani. imefikia hatua hata tukipata mimba tunaona inaleta kero tunatoa ili tuendelee na starehe zetu. wanyama hawana shahada za vyuo kikuu lakini wanajua saa ngapi wakipandana mimba itapatikana na hawakosei. wanatumia pua tu kjua majira sahihi ya kujamiana! siku moja tusijeshangaa tunalazimika kujifunza kwa hao!
 
Ni Kweli lakini huoni kama, ni sharti gumu. Wanaume wanajua mnapenda kuolewa na yeye anapenda ile kitu. Kwa hiyo kubadilishana hivyo viwili ni rahisi mno lakini yupo atakaye punjwa. Siku zote ni mwanamke kwani mwanaume akisha shiba ndoo hivyo anaenda kutafuta malisho sehemu nyingine.

Swali la pili. Wanawake wanao jitoa ,lazimisha ufanye nao mapenzi ili uwaoe, tuwapeleke takukuru??

Kama takukuru wanashughulikia kesi kama hizi peleka tu,ila nasi pia tuna maamuzi yetu na mahitaji kama hilo na ni lazima yaheshimiwe.:eyeroll1:
 
Mie hako naona kama karushwa fulani hivi??.Kwa nini usisubiri hunimani mpaka unipe nionje tena bura?? kulikoni?
 
hakuna wa kulaumiwa. ndiyo asili ya viumbe vyote na si mwanadamu tu. kila kiumbe dume hutongoza na jike hukataakataa lakini hatimaye hukubali. tafauti ya wanadamu na wanyama wengine ni kuwa sisi tuna akili na busara itokananayo na maarifa na uzoefu. ni asili haina tatizo. labda tatizo ni huu ujuaji wa siku hizi na kukaidi maadili hata yale yaliyo mazuri kwa visingizio mbalimbali. maarifa na nusara zetu zimeanza kuwa tatizo badala ya msaada. wanyama wengine wanaojamiiana wana discipline, huwezi kukuta wanajamiiana kinyume cha maumbile wala wakati ambao si muafaka.

generally wanyama hujamiiana kwa lengo la uzazi tu ila sisi binadamu tumegeuza starehe na burudani. imefikia hatua hata tukipata mimba tunaona inaleta kero tunatoa ili tuendelee na starehe zetu. wanyama hawana shahada za vyuo kikuu lakini wanajua saa ngapi wakipandana mimba itapatikana na hawakosei. wanatumia pua tu kjua majira sahihi ya kujamiana! siku moja tusijeshangaa tunalazimika kujifunza kwa hao!

Nimekuelewa, laini Judith mie naamini wa kulaumiwa yupo. Hi gawa gawa na gawia gawia imezidi. Inawezekana ni upande mmoja ndio umezidi offsides.
 
Mimi Bado ninaamini kabisa Mwanamke anayo say ya mwisho juu ya nini kifanyike na nini kisifanyike katika mwili wake.... hivyo uamuzi wa kukitunza au kukiondoa kizinda ni wa MWANAMKE........Kama mgeni mwalikwa anataka kuponja ladha ya chakula kabla ya muda wa kula na mwenyeji akakataa kwa kuwa muda wa kula haujafika ikisha yule mwalikwa akaamua kususa na kuondoka basi ni wazi mgeni mwalikwa huyu hakuwa na mapenzi na mwenyeji alomwalika bali chakula chhake.......si mgeni mzuri.

Hata kwenye Biblia tunasimuliwa hadithi ya Bwana aloandaa karamu kisha waalikwa wakaanza kutoa excuse za kutokuweza kuoa huku wengine wakisema wameoa wake wapya so wanakwenda kuwatest.........aliwaalika ombaomba barabarani kwa ajili ya chakula kile. So si kila mgeni ana mapenzi na mwenyeji mwanaa karama.
unajua katka memba wa JF ninaoheshim sana post zao ni huyu hapa juu na WOS. sjui kwanini walahi? big up MJ1.
 
mmmhhh dear ????? darling?????
mmhh mie naona tuache hapo hapo kwenye dear
hahahah lol

mmmmhh haya nona umeanza kunichokoza??lol
unajua ni rahisi sana kutupiana mawe..
kuliko kukaa chini na kuelewana ...

sana sana hapa tutarudi kule kwenye "mwanaume anacheat kwa sababu mke wake hampi kinachotakiwa"
na sisi tunaibu " Nanyie mngetulia ndani ya ndoa basi tungewapa mnchotaka"

ndo maaa nikasema hapa ni tunafukuzana kwenyemeza ya mviringo...
basi tutaupgrade ze finest akipigwa ban.
bek to ze topik: nazani post ya MJ1 hapo juu imemaliza kila kitu. tabutupu anaweza akafunga sredi akiwish.
 
hahaha lol Finest hawezi pigwa Ban ..

Nway ni kweli MJ1 kaongea la maana sana...
she is a great thinker..
lakini kumbuka wenyeji wengine wanapenda kusukumizia ..
na hata ukatae bado watachukua walico kifuatia..
 
nazani mwanaume ukimkubalia kukaa nae alone just two of you tayari anatafsiri ile kwamba ni access granted, so hata mimi ukinipeleka mpaka gesti halaf ukaniambia baba hapendi nazani itakuuwa ngumu kukuelewa. imagine , na mimi ndio mwanaume muaminifu pekee niliobakia hapa bongo.
 
umenichekesha eti we ndo mwanaume mwaminifu ulie bakia Bongo lol

kwa kweli kwa mwanamke timamau mwenye akili zake
hawezi kukubali kufika huko mbali sana mpaka gest lol...

kwa hiyo mwanamke na mwanume hawawezi kuwa marafiki wa kawaida tu??
bila kuhusisha maswala ya ngono kati yao???
 
dah! sore hapo nilikusudia mwanaume ambae ana feeling na huyo mdada.

urafiki inawezekana kama mdada wenyewe amefanana na marehem remmy ongala, lakini kama mdada kakamilika kila idara ni ngumu sana aisee. mimi bana nikiwa na waifu deili navaa sunglass ili asinishtukie. hii jinsia yetu ina hisia za mishtuko ya ghafla ghafla.
 
hahahahhaahhah lol
ndo maana mie naweye tunapata maana merehemu Remmy Ongala mwanafunzi kwangu hhahahah lol

hahah lol
i hope hutakuwa unamshika mkono..
maana mnatabia fulani ukimwona mwanamke labda kaacha mapaja nusu nje..
mnatabia ya kubonyeza mikono ...haah lol

bwana ae mie naamini ugomvi wa mwanamke na mwaume hautakaa uishe..
yaani ni Israel na Palestine .....
maana vishawishi na mitengo ni mingi sana ..
vijana ni wepesi sana wa kuingia kwenye mitego...
na sisi tunajifanya ma lawyer wa kutaka kurekebisha kila kitu...
peace
AD
 
nikiunganisha post hii na ile ya mj1 nazani sredi klosed. acha tukampe kampani jaluo nyeupe kwenye sredi yake sasa.
 
Back
Top Bottom