Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 339
- 678
NANI WA KUMPUUZA, WALIOPISHWA AU WASHIRIKA WA NCHI ISTAWALIKE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa jana tumeshuhudia Wabunge 12 wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakialishwa jana na Spika wa Bunge la JMT mjini Dodoma. Walikula kiapo ambacho ni haki yao Kikatiba na kwa mjibu wa sheria za kudumu za Bunge.
Ni kweli kuwa baada ya kiapo hicho kumeibuka mitazamo mingi na maneno mengi kutoka kwa watu tofauti. Wapo walioshutumu na wapo waliopongeza. Lakini ni kweli pamoja na mitazamo hiyo Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg John John Munyika amejotokeza mbele ya vyombo vya habari kuwa wao kama sheria za nchi zinavyowataka juu ya uteuzi wa Wabunge hawa wao hajafanya.
Ni kweli kuwa kwa body language Katibu Mkuu inaonyesha wazi zoezi hili alishiriki ila baada ya reaction kutoka nje ndio maana anajifanya hajui chochote.
Tuache haya tuje kwenye logic, je nani wa KUMPUUZA kati ya walioapishwa na wanaosema hawawatambui Wabunge hao?
Hapa Wazalendo na ambao wameonyesha dhahiri ni walinzi na watetea taifa ni walioapa ambao wameonyesha umoja wao wa kukataa kuburuzwa. Hawa wamekata nia mbaya ya viongozi wachache waliotaka kutumia uchaguzi huu kama sehemu ya kuligombanisha taifa na mataifa mengine. Hawa wamekataa nia mbaya ya watu wanaotaka Tanzania isisonge mbele na ibaki kwenye malumbano.
Hawa wamekubaliana na kwenda kuwasemea Watanzania katika kuendelea kujenga uchumi mpya. Hawa wameonyesha kukerwa na watu waliokuwa na nia ya kuwaleta watu wenyenia mbaya( Mabeneru) kulifarakanisha Taifa ili kuwe hakuna utulivu na miaka mitano nchi isifanye chochote. Hawa waliopa kwa vyovyote wametafsiri dhana ya kuwa Mwanamke ni mzalendo, mchapa kazi na si msaliti kwenye mapambano ya mageuzi ya kiuchumi katka Taifa.
Hawa waliotaka kuwabania wasiapishwe ni wale ambao walishaingia mikataba na wanaotaka kuwa watesi wa Maendeleo ya Taifa. Tunajua kazi kubwa anayofanya Wakili msomi Tundu huko aliko juu ya Taifa letu, tunajua kazi kubwa anayofanya aliyejitafutia asylum huko Kenya. Ujinga kama huo akina Mh Mdee wanaotamani kuona maendeleo kuliko politocking ambazo hazina faida wasingekubali kutumika.