Nani wa kuwajibika juu ya kuzidi kwa idadi ya wachezaji uwanjani Yanga vs Mbeya City

Angalia video,, mbeya city hawabishi,,, Mbumbumbu wanabisha
 
Angalia video ndio utaelewa kuwa namba 6 si namba nane
 
Angalia video ndio utaelewa kuwa namba 6 si namba nane
Endapo mchezaji aliepata redcard hatotoka uwanjani refa atasimamisha mpira na kumlazimisha atoke akikataa atasimamisha mchezo na kupiliza kipenga kumaliza na adhabu huikumba timu husika kwa kunyanganywa ushindi.imetokea huko majuu si ajabu mbeya wakaachia point na magoli matatu
 
kwahiyo refa jana alimtoa mchezaji wa mbeya akagoma ndio refa akaamua kumaliza mpira au?

mwaka jana Fhaki alicheza akiwa na kadi 3 za njano!

usijifanye hujui hii kesi jinsi vyura mlivyoingilia.....malipo ni hapa hapa...
see you next season.
 
!
!
Nani Huruhusu Mchezaji Kutoka Na Nani Huruhusu Mchezaji Kuingia? Nani ni Mtunza Kumbukumbu..... Chirwa Kacheza Rafu ya Red Card Kaachiwa Tu Kirahisi
Huu ushabiki maandazi nauchukia basis tu. Mimi sio shabiki wa mipira yenu hii ya ovyo ovyo lakini mtu anapoleta hoja jadili hoja. Chirwa anakujaje kwenye suala la wachezaji kuzidi uwanjani? Kama kafanya faulo na Refa katoa kadi tofauti na uliyotaka huo ni mjadala mwingine. Hapa tunataka kujua ni nani anawajibika na kosa la mchezaji mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu lakini bado uwanjani wakabaki 11?
 
Kwa Kejeli Walizotoa Mashabiki Wa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Zidi Ya [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Last Season Sikufikiria Kama [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Nao Watadai Points Za Mezani Kiasi Hichi.
 
Kwa Kejeli Walizotoa Mashabiki Wa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Zidi Ya [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Last Season Sikufikiria Kama [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Nao Watadai Points Za Mezani Kiasi Hichi.
Hoja yako ni ipi? Namba 6 kuwa namba 8 au kejeli za Yanga za mwaka jana?
 
Ndio maana FIFA waliamua mchezaji akipigwa 'red' anatakiwa akakae julwaa last washabiki ili kuondoa uhuni huo.

Vv
 
Je referee alisimamisha mchezo? Je mchezaji aligoma kutoka?
 
Nimeiangalia hiyo video kwa umakini, na inaonyesha kwa wazi kabisa Mbeya City walikuwa kumi uwanjani badala ya tisa.
Na kosa hili Mbeya City itawagharimu, Huenda Yanga wakapata points zote tatu mezani.

One mistake = Three points.
 
!
!
Nani Huruhusu Mchezaji Kutoka Na Nani Huruhusu Mchezaji Kuingia? Nani ni Mtunza Kumbukumbu..... Chirwa Kacheza Rafu ya Red Card Kaachiwa Tu Kirahisi
Mwaka Jana Kagera..Banda alipiga ngumi..msiwe wajinga..mpigwaji alimprovoke Chirwa kwa mini akae njiani wakati hakuna mpira...marehemu ana kosa au kauwa bila ya kukusudia mahakamani
 
Wengine wanasema mchezaji aliyetolewa kwa kadi nyekundu alirudi kinyemela uwanjani.
Wakupongezwa na Mbea City kwa kuweza kufanikisha hii mbinu ya ushindi.
Mwisho wapata matokeo waliyoyatarajia.
Huu sasa uongo yalifanyika mabadiliko dakika 96 baada ya eliudi kuumia akaingia mtu mwengine tatizo alietolewa alikua kwenye machera hakujua kama amefanyiwa mabadiliko alivomaliza kutibiwa akamuomba refa kurudi uwanjani na refa akamruhusu, direct kosa ni la muamuzi.
 
Mwaka Jana Kagera..Banda alipiga ngumi..msiwe wajinga..mpigwaji alimprovoke Chirwa kwa mini akae njiani wakati hakuna mpira...marehemu ana kosa au kauwa bila ya kukusudia mahakamani

!
!
Ingia Instagram Ya Shafii.... Chirwa Alimfata Jamaa Alipo Na Kumpiga Kiwiko
 
Kama kamisa anambiwa wapo 10 na yeye anashindwa kuchukua uamuzi kwa kuwasiliana na linesman au refa ni kosa lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…