makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Angalia video,, mbeya city hawabishi,,, Mbumbumbu wanabishaHuu Ni Upimbi Wa Wazi Kabisa! Huyu Namba 8 Ni Yule Namba 6 baada Ya Kukimbia Na Kufika Kati Ndiyo Akabandikwa Namba 8.
Hebu Mwangalie Movement Yake Hapo Alipo Katika Picha Ya Juu Mstari Wa Kati Unaonekana na Hapana Mtu!
Lakini Picha Ya Chini Kwenye Mstari Wa Kati Pana Mtu! Katokea Wapi?
inaonesha Wazi Kuwa Hiyo movement Yake anakimbia Kutokea Nyuma ambako Mulimuamdika Namba 6 baadae Yeye Yeye Mukamuandika Namba 8.