Nani walikaa kuandaa Combination?

Nani walikaa kuandaa Combination?

conductor

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
811
Reaction score
681
INATAFSIRI kiwango kidogo kiasi cha viongozi wasomi kubuni na kuweka combination za dini ,ili mtoto akae miaka 2 darasani akisoma, islamic, divinity ,au lugha ngeni kwa nchi kama Tanzania, ilibidi wanyang'anywe vyeti vyao na vyuo huska (academic certificate ), wafukuzwe KAZI, na kama walikuwa na mshauri kutoka nje (academic consultants) afukuzwe nchi pamoja na afungiwe kufanya KAZI nchini.

Na aliyebuni Kila mkoa uwe na VETA(technical trainings)na kuhamasisha VYUO vya Kati anafaa kuwa KIONGOZI MKUU, ama wa chuo,WIZARA,au nchi., chukua WASOMI 5 waliosoma dini na WASOMI 5 waliosoma masomo nje ya dini tengeneza round table weka debate ya uchumi afu fanya assessment ya argument ndo utajua TAIFA hili litafika lini tunapotaka kufika.

UINGEREZA kwasasa baadhi ya maeneo makanisa wambeyabadili kuwa bar na hotel kuvutia wateja/watalii liking kuna nchi msikiti unaukuta kilometre 20 Kati ya mmoja na mingine KUONYESHA less necessity, ambao nchi ya TANZANIA ndo hao inawomba mikopo kuinua uchumi na pesa ya kusomesha watoto,na ndo hao Wana market share kwenye IMF, WB kubwa ,Sisi ndo Kwanza tunawasomesha PhD vijana theologia, Islamic..ili tugundue nini? kwenye imani. Nadhan wanasiasa na wananchi hizi ndo nafasi za kufanya maandamano nchi NZIMA kuuelezea Umma kadhia hii.

IMG_20240326_094530_MP.jpg
ia hizi. huwezi kuwaza PPP (public-private partnership) afu unaleta dini, (natamani kutumia neno zito kidogo, kuwa ni (mchawi wa taifa), hata library ya vitabu vya DINI huwezi pata wateja wakukuwezesha kulipa Kodi ya pango.


Lugha mpya yanini wakati kuna Google translator, vyuoni waliosoma combination za art wananyimwa mikopo, leo mnaongeza hizo combination?, DUNIA ya WASOMI inawaza jinsi ya kupunguza hewa ukaa kwa kudiscourage cement industry, kujenga nyumba zenye less emission we unawaza lugha ngeni na dini? na dini umechagua tu zile traditional, zingine "modern worshipping "umeziacha, ,IBADA MOJA YA MWAMPOSA pale KAWE (rise n shine), (modern worshipping) itachukua almost Ibada 16 Kwa RC, au 45 huko islamic kupata kiwango kile cha waumini, sasa research zenu zimetumia vigezo gani, je dini zote zilishirikishwa?

Miimi nimesoma shule inayofundisha kifaransa mpakq nakaribia kustaafu nimepata mradi mmoja Tu na mfaransa. na hii NI kwasababu yeye ndo alikuja nchini kwangu, sio Mimi kwao, najua lugha nyingine za nchi kama 3, ila si kwasababu ya darasani Bali muingiliano,, (language is a medium of exchange )lakin lazma iwepo agenda lakin sio lugha yenyewe.

Hizi tabia za kuajiri watu Kwa connection ama Kwa kutowapa Uhuru WA kuamia ndo madhara haya tunayaona.

Nataman kujua hata mwenyekiti aliyeongoza huu mjadala kuandaa COMBINATION tumpige mawe na kumdhihaki.

Hii ndo tatizo kubwa Sana kuliko tunaovyowaza.

"MCHAWI NDUGU" kama hiyo plate number ya pikipiki ilivyoandikwa, Hii sio wazungu wametuletea ni Sisi wenyewe, na kama ni wazungu basi ni muda wa kuwaonya kupitia hii suala la Combination kutoka 16-65 afu nyingi ni cheap to adopt.
 
Unamaanisha miaka miwili atakuwa anasoma Islamic knowledge au divinity tu?

Masomo yapo matatu, plus general studies na BAM

Halafu mbona hamshangai chuo kikuuu kunadegree program za dini? tena vyuo vingine vya serikali?

Shida kubwa hapa chuki za kidini tu
 
Unamaanisha miaka miwili atakuwa anasoma Islamic knowledge au divinity tu?

Masomo yapo matatu, plus general studies na BAM

Halafu mbona hamshangai chuo kikuuu kunadegree program za dini? tena vyuo vingine vya serikali?



Shida kubwa hapa chuki za kidini tu
Kekule huyo benzene (c6h6) mjerumani(role Modal wako) hakusoma DINI wakati angundua mafuta ya ndege, kama ulikuwa hujuhi, wakati dini imeanzia huko kwao...nafurahia kuwa wewe ni mwana sayansi unaweza kuelewa mziki wa chemistry unavyoitaji maandaliz ya mapema kuliko dini..nikukumbushe Tu nina "A" ya chemistry...ulipomsoma KEKULE theory. Leo unakula vyakula vibovu na uwezo wa kuhoji chakula cha lishe kutoka USA kina tatizo kwa kutumia sayansi na si dini...kipi kinaua mapema Kati ya dini na kutojua sayansi ya afya?
 
Back
Top Bottom