Nani walikuwa watu wa kwanza kwanza kujiunga JF?


Huu Uzi ni mzuri kufuatilia na kupata Historia ya JF.
 
mm nilianzia jambo forum wakati ule ilikuwa chini ya michuzi blog sasa sijui inakuwaje hapa mkuu
Kuweka rekodi sawa, Jambo Forums haijawahi kuwa chini ya Michuzi. Ile ya Michuzi ni Blog (mmiliki anaamua nini kiandikwe), hii ni forum (sisi ndo tunaamua nini kiandikwe).
 
Nasikia Mwanamalundi ... Sameke Na Akina Igubh'o Ndo Walikuwa Wa Kwanza Kujiunga Jf ... Source Ni Babu Yake na Babu Kizaa Babu Yake Na Babu Yangu ...
Mwanamalundi kipindi cha nyuma kila post aliyokuwa akisoma comment yake ilikuwa ni HAYAKUHUSU,siku hizi sijui km ana huo utaratibu tena
 
Mwanamalundi kipindi cha nyuma kila post aliyokuwa akisoma comment yake ilikuwa ni HAYAKUHUSU,siku hizi sijui km ana huo utaratibu tena
Siku Hizi Ameadimika Sana Humu Ndani Sijui Kapotelea Wapi ... !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…