Nani wanatoa Scholaships Kwa vyuo vya hapa nchini??

Nani wanatoa Scholaships Kwa vyuo vya hapa nchini??

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Heshima wakuu....
Ninayo admission ya masters katika chuo cha kilimo SUA Morogoro. Tatizo ni kuwa nimekosa scholarships. Naombeni msaada wa taarifa ni namna gani naweza kupata scholarship kwa ajili ya hapo kusoma hapo SUA.

Ni masters ya miaka 2(Msc. Animal Science).
 
Back
Top Bottom