Nani yuko around mlimani city now??

Mara yako ya ngapi hii unaingia Cinema...?

Kikawaida kwa jinsi watu wapenda movie haswa mlee hawataki hata kupitwa na neno wakiwa wanaangalia movie wewe umepata hadi muda wa kufuma Uzi ni matangazo ya mwanzo bado movie haijaanza nini mkuu au movie inaboa...?
 
Fresh ni bonge la movie part 1 yake ilitoka 2014, KINGSMAN: THE SECRET SOCIETY itafte Kama bado haujaiona ili ikifika siku ya part 2 uwee umeifahamu vizuri

hapo Cinema hamna posters zake bado za KINGSMAN mpya inayokuja...?
Hiki kitu cha ukweli nimecheki trailer inaonekana kali sijui cinemax inapremiere lini ila kali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekuona upo pale chini mwanzo kabisa mie nipo huku juu kwenye kona kama unatoka mlangoni
 
Fresh ni bonge la movie part 1 yake ilitoka 2014, KINGSMAN: THE SECRET SOCIETY itafte Kama bado haujaiona ili ikifika siku ya part 2 uwee umeifahamu vizuri

hapo Cinema hamna posters zake bado za KINGSMAN mpya inayokuja...?
Bado sijaziona chief, naona kitu mpya ya tom cruise hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…